masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
- Thread starter
- #61
Mkuu kuondoa wahuni barabarani si mjadala wa kisiasa.Huwezi kuondoa bajaji ukaacha mafisadi ofisini sio sawa mkuu.
Kabla ya mji wa kistaarabu tunahitaji serikali ya kistaarabu. Viongozi walio staarabika na wenye aibu na hofu mbele ya fedha za umma.
Naona hadi nimetoka nje ya mada lakini point yangu hasa ni serikali imekua ya kinafki. Hao wanaoimba amani halafu ni watekaji. Hao wanaofukuza bajaji alafu TRA anafurahia kodi za mizigo bandarini.