Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

Mkuu wa Mkoa apambane sasa hadi kieleweke - maana ikifika 2028 ataambiwa asiwabugudhi wapiga kura!
 
Mbata zaidi wanaoziendesha wanapakia na kushusha abiria popote iwe kwenye junction au katikati ya barabara
Moja ya kero kubwa za bajaji popote pale, na si Mbeya tu.
 
RPC ana Bajaji za kutosha, RTO nae, yule aliyekua Spika nae, na wengine
 
mikoa yote asilimia kubwa bajaji za mapolisi zingatia pia mkoa wa iringa tabu tupu wenye Costa town trip tunakazi
 
Kuwajibika kwa serikali ni kuwaondoa wazururaji ,wavutabangi wanaojificha nyuma ya mgongo wa bajaji.
Hakuna mji wa kistaarabu unaoendeshwa na kuruhusu wahuni watawale barabara.
Wewe umevimbiwa
Mbeya hakuna barabara za mchepuko, ni jiji lenye barabara moja kutoka uyole mwanzo wa mji hadi mbalizi mwisho wa mji.
Daladala mbeya ni usafiri wenye kero kubwa sana, inaweza kujaa na isitoke stand.
Bajaji zimekuwa usafiri wa haraka ndio maana unaona ni nyingi sababu ndio mkombozi kwa abiria.
Serikali iache ufisadi, ijenge miundo mbinu kuendana na wakati na ongezeko la watu.
Ety unalalamika malori ya zambia yanapata shida. Hayo maroli na wananchi wengi kipi ni bora? Wananchi wateseke ili maroli yaenjoy?
Ukitaka hivyo njoo huku Temeke uone wananchi wanavyopata shida sababu ya hayo maroli, barabara zote za mitaa zimefungwa kwa upuuzi wa hawa viongozi mafisadi wasiotaka kuwajibika kwa wananchi.
 
Chalamila kashindwa, Kariakoo alisema kuanzia tarehe 24 mwezi huu, machinga waondoke, ila jana kwa siasa za kila siku, eti wameambiwa wabaki kwanza
Huyu gavana wa dar kutwa vitisho tu, Hana meno kabisa, kutwa....
....mnanunionaje, nitaondoka na nyinyi, mie siyo mtu mzuri...
.....siyo mtu anaingia mjini na ki Corolla chake kichafu chafu....
........
Sijuwi kanakunywa sana pombe mpaka hakajuwi kanachofanya au kusema!
Ila tunakasifia KWA UCHAWA! AISE KAJAMAA KANATUNZA TUMBO LAKE KWA KUMSIFIA MTEKAJI MTESAJI MNYANYASAJI NA MUUWAJI SAMIA SULUHU!
 
Hana meno,jiji limemzidi nguvu
 
Back
Top Bottom