Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

... ila bajaji na boda hata kama ni ajira hapa! It's too much. When it comes ustaarabu wa barabarani ni kero inayovuka mipaka sio kwa magari tu bali kwa wote including waenda kwa miguu. Ni hatari kwa watoto.
Mnawalaumu tu bodaboda na bajaji ni mazingira gani na barabara zipi mnazojifanya muowaone hawa vijana kero, hawa vijana wamesaidia pale wahusika wameshindwa, kwa mfano Mbeya baada ya kutokea ajali mbaya kwenye mtelemko wa kwenda Mbalizi Magufuli aliamuru barabara za malori ijengwe nje ya mji kuanzia Uyole hadi Mbalizi, ajabu hadi sasa hilo wazo la barabara ya malori halipo tena na barabara kuu ni hiyo moja na milori imejaa kwenye hiyo barabara kuu kwa hiyo wa malori wapo sawa ila bajaji wana makosa hii si sawa hata barabarani za vichochoroni hapo Mbeya mjini ni mbovu, nani anataka apeleke chombo chake kwenye barabara mbovu?
 
Wamiliki wa hizo Bajaj ni wale wale wasimamizi wa sheria za barabarani, Mkuu wa mkoa anajua mpaka sasa anapambana na nani.
Kuna kipindi dala dala waligoma kuingia barabarani, Chalamila (akiwa Mbeya) akaruhusu Bajaj zibebe abiria kutoka uyole hadi mjini ili watu wawahi kwenye shughuli zao,mwisho wa siku daladala wakarudi barabarani bila kusikilizwa matakwa yao.
 
Kuna kiongozi aliwahi kusema bodaboda sio ajira wakamjia juu leo hawa vijana wanaacha bajaji watafanya shughuli gani?
Na kwenye bodaboda kuna level zote za elimu. Wenye itikadi zote za vyama vya siasa.
Hili limeshakuwa tatizo kwenye Taifa.
Kulizuia kunahitajika jitihada za ziada.
 
Masikini ukiwaendekeza watakunya mpaka mlangoni kwako
Sio kazi ta serikali kutafuta suluhisho,
kazi ya serikali ni kuweka miongozo, na mmoja wapo ndio huo, hakuna bajaji mjini
suluhisho watafute wenyewe waendesha bajaji
 
Mnawalaumu tu bodaboda na bajaji ni mazingira gani na barabara zipi mnazojifanya muowaone hawa vijana kero, hawa vijana wamesaidia pale wahusika wameshindwa, kwa mfano Mbeya baada ya kutokea ajali mbaya kwenye mtelemko wa kwenda Mbalizi Magufuli aliamuru barabara za malori ijengwe nje ya mji kuanzia Uyole hadi Mbalizi, ajabu hadi sasa hilo wazo la barabara ya malori halipo tena na barabara kuu ni hiyo moja na milori imejaa kwenye hiyo barabara kuu kwa hiyo wa malori wapo sawa ila bajaji wana makosa hii si sawa hata barabarani za vichochoroni hapo Mbeya mjini ni mbovu, nani anataka apeleke chombo chake kwenye barabara mbovu?
Huwezi halalisha kosa juu ya kosa.
Bajaji haiwezi kuwa mbadala wa mass transportation mji wowote wa kistaarabu.

Miji mikubwa duniani hutakuta lawlessness kama bajaji mijini.
 
Wamiliki wa hizo Bajaj ni wale wale wasimamizi wa sheria za barabarani, Mkuu wa mkoa anajua mpaka sasa anapambana na nani.
Kuna kipindi dala dala waligoma kuingia barabarani, Chalamila (akiwa Mbeya) akaruhusu Bajaj zibebe abiria kutoka uyole hadi mjini ili watu wawahi kwenye shughuli zao,mwisho wa siku daladala wakarudi barabarani bila kusikilizwa matakwa yao.
Ni vizuri hao wamiliki ,sheria iwatembelee.
 
Haki huambatana na sheria.
Na sheria haina mjadala.
Huwezi weka jiko la chipsi Salenda bridge kwa vile wateja wengi wanapita hapo.
Izo bajaji zililetwa siku moja zikajaa Hapo Mbeya? Hamna maduka ambayo yapo hapo bado yanaendea kuuza bajaji? Na spare parts
 
BAJAJI MBEYA NI NYINGI.

HAPANA BAJAJI SIYO NYINGI SEMA BARABARA ZA LAMI NI CHACHE SANA KWA HIYO HIZO CHACHE BAJAJI ZOTE ZINAKUWA NDANI YA BARABARA HIZO CHACHE KWA HIYO ZINA ONEKANA NI NYINGI.

BARABARA ZA LAMI ZIJENGWE NYINGI, OUTER RING ROAD YAANI BARABARA ZA MZUNGUKO ZIWE NYINGI ALAFU MUONE KAMA HIZO BAJAJI NI NYINGI. WENGI WATA KIMBILIA KWENYE BARABARA MPYA ZA LAMI NA TATIZO LITAKUWA LIMEPUNGUA OWA KIASI KIKUBWA SANAA.

HATA DAR ES SALAAM TATIZO NI HILO HILO BARABARA NI CHACHE KWENYE KILA WILAYA HUSIKA
 
Kwa vyovyote vile, kwa hali ya bajaji ilivyo Mbeya, hali haivumiliki.
Ni lazima ziondoleww njia kuu..
 
View attachment 3695663
View attachment 3695664

Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma.

Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa.

Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.

Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulivalia njuga kero ya bajaji na kurejesha ustaarabu jijini Mbeya.
Kero ikidhibitiwa Mbeya, tutaiomba serikali aletwe hapa Darisalama napo ili padhibitiwe.
Aisee kweli Bajaji zimekuwa kero kubwa mno, sawa tu na wale wanaoweka bidhaa chini
 
Back
Top Bottom