Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amekutana na upinzani kutoka kwa madereva wa bajaji alipokwenda kuzungumza nao, huku madereva hao wakionyesha kutokuwa tayari kumsikiliza.
Tukio hilo linajiri siku moja baada ya madereva wa bajaji kugoma kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Jumanne Sagini, ambaye alielekeza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua za kisheria madereva wote wa bajaji wanaokiuka sheria za barabarani, wakiwemo wale wanaomilikiwa na viongozi wa Serikali.
Soma Pia: Mbunge Mwalunenge azomewa kwa Kuwataka Madereva wa Bodaboda Wachangie Sh1,000 kwaajili ujenzi wa barabara