mbunge wa mbeya mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Mwalunenge, azomewa na madereva wa bajaji. Wagoma kumsikiliza

    Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amekutana na upinzani kutoka kwa madereva wa bajaji alipokwenda kuzungumza nao, huku madereva hao wakionyesha kutokuwa tayari kumsikiliza. Tukio hilo linajiri siku moja baada ya madereva wa bajaji kugoma kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa...
Back
Top Bottom