Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
 
Ngoja tuone maana RC anajifanya mbabe na jeuri ....tusubiri
 
Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
yetu macho
 
ok.🐒
 
Waendesha bajaji Mbeya lazima wadhibitiwe.
Mkuu wa Mkoa asilegeze kamba, hao waendesha bajaji wamejitwalia madaraka ya kujiamulia namna ya kulienedesaha jiji bila mpangilio.
Mkuu wa mkoa kaza spana.
 
Ngoja tuone, ndugu Mwalunenge kakimbilia wapi?
 
Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
Nikweli ule mkoa jiji ni shaghara baghala. Mibajaji imejazana kila kona, pia umejengwa vibaya.
ukiwa mbeya, haijulikani mjini ni wapi, kila sehemu ni uswazi, mijumba ya ovyo na mabajqji kibao. Kiufupi mbeya inyanganywe hadhi ya jjiji. Sababu kubwa ya hilo jiji kuwa hivyo ni uongozi mbovu wa serikali ya ccm kama ilivyo sehemu zingine nyingi nchini. Ujenzi wa ovyo unatokana na rushwa na usimamizi mbovu wa mipango miji. Kinachofanyika saiz ni zima moto baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom