establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,671
- 2,560
1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.
2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi Machi/Aprili 2026 Kwa ajili ya kupelekwa Kwa external examination. Kila tukiuliza ni danadana. Wengi wetu ruhusa za masomo zimekwisha na mwajiri anataka cheti vinginevyo tutakosa vyote (Kazi na masters). Tuna mengi ya kusema kuhusu hicho Chuo ila ngoja hili lipite kwanza. TUMECHOKA!
Awali tulipaswa kuhitimu Mei 2026 (miezi 18 toka kupata admission) ila tena kwa uzembe tu, tukaambiwa haiwezekani mpaka Disemba lakini bado hakuna dalili maana hakuna anayetoa jibu la lini tutapata matokeo yetu. Ukienda kuulizia ofisi ya Mratibu wa Postgraduate unaambuliwa kunangwa tu.