KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

Watu wanaongelea kuhitimu (kutunukiwa vyeti), wewe unaongelea sherehe za kuhitimu. Kichwa kimejaa kamasi hicho.
Rejea hoja yake ya Kwanza kisha ujitafakari wewe mwenyewe binafsi ikikupendeza.
 
Sasa ukipewa matokeo haraka hiyo ndo guarantee kuwa lazima ugraduate?

What if marks za Disseratition yako ni za kufeli?, What if disseratition yako ikawa rejected?

Tulia, shule siyo sawa na kunywa uji. lazima dissertation yako ipitiwe kitaalamu ndani na nje, watu wajiridhishe kuwa umeandika vitu vya maana au chai
 
Back
Top Bottom