Ulibahatika sana kusoma shule kwa watu wanaojielewa, huku mpaka mentality ibadilike ndio mabadiliko tutayaona nje hapo tuna safari ndefu sana kufika.Hii ni mentality fulani ya Kibongo, si UDSM tu.
UDSM inaweza kuwa kinara kwa sababu kuna ile hadhi ya chuo cha kwanza, watu wana Status Anxiety vibaya sana.
Mimi huwa naiita "Kafkaesque Kerfuffle". Kufuatia hadithi za Franz Kafka. Ukienda kwenye maofisi ni hivyo hivyo, yani unaweza kukutana na kajamaa kamlinzi tu ka mlangoni, lakini kanataka kukutesa bila sababu ya maana utambue kuwa upo eneo lake la kujidai.
Nilivyokuwa nasoma undergraduate (NYC, US) kuna profesa mmoja wa falsafa nilikuwa nabishana naye sana darasani. Philosophy elective. Kila kipindi ile back and forth ya kubishana ilikuwa kubwa sana darasani. Kubwa mpaka nikawa najiona kama nina dominate lile darasa. Mpaka siku moja dada mmoja akaniuliza, hivi unavyombishia yule Profesa, huwa unaamini kweli zile hoja, au unamfanyia show ya makusudi tu? Nikamwambia naamini kabisa.
Sasa, siku ya mtihani wa mwisho wa term, niko library nasoma ile ya mwishomwisho kabla ya mtihani, Profesa akanitumia email, anasema usije kwenye mtihani.
Nikasema mama yangu, Profesa ndiyo ananikata nisifanye mtihani kwa sababu ya ubishi wangu darasani? Ntakoma leo. Nikamuuliza kwanini?
Profesa akasema mabishano yako ya darasani yamekupasisha mtihani huu, yale mabishano si ya darasa hili la undergraduate, yale ni mabishano ya masters degree.
Nikamuuliza, sasa utanipa alama gani kwenye mtihani huu?
Akasema hakuna alama nyingine. Nitakupa A+ kwenye somo hili.
Huyo Profesa ni kila kitu tofauti na mimi. He was white, I am black, he was conservative, I was liberal, he was an old American judge, I was a young African immigrant.
Lakini, aliamini sana katika dhana ya Profesa na wanafunzi kubishana kifalsafa darasani. Yani pale nilipoona kama naharibu kubishana sana na Profesa, yeye, bila ya kunionesha wazi, alikuwa anafurahia sana kuona ana mwanafunzi anayejiamini, anayejibizana, anayeweza kuonesha kasoma mambo mengi na anaweza kuyatetea.
Hata baada ya kumaliza somo lile, alinitaka niwe naenda kwenye picnics zao anipe introductions kwenye networks zao, ila mimi nikawa nina mambo mengi tu.
Profesa yule alinifikirisha sana. Nikajiuliza, hivi hapa ningekuwa UDSM ningeweza kubishana na Profesa hivi, halafu anipe A+ kutokana na mabishano yangu ya darasani?
Thubuuutuuu.
Sasa hapo ndipo wanafunzi wanashindwa kujenga confidence, creativity, critical thinking skills.
Wanakwenda kikondoo kondoo wakiogopa ma Profesa tu.
Wanaogooa wakimbishia Profesa, atawashika shati awapige disco.
Wanasoma ili wapate cheti tu, si kuelewa mambo.
😂😂😂😂UDSM limebaki jina tu lakini hakuna kitu pale. Ubaguzi, ukabila, ukiritimba, ufisadi yaani utafikiri mijitu haijasoma. Vimada na michepuko ya wakubwa ndiyo inashika nafasi nyeti unategemea nini? Eti ndiyo flagship ya nchi. Jalalani 100%
😂😂😂Bora nisome masters Teku au Saut lakini sio hizo takataka za serikali maana uko hakuna elimu bora bali miungu watu
TZ hapa hata Secondary ukiwa unabishana na mwalimu, kuna walakini wa kufeli somo lake.Hii ni mentality fulani ya Kibongo, si UDSM tu.
UDSM inaweza kuwa kinara kwa sababu kuna ile hadhi ya chuo cha kwanza, watu wana Status Anxiety vibaya sana.
Mimi huwa naiita "Kafkaesque Kerfuffle". Kufuatia hadithi za Franz Kafka. Ukienda kwenye maofisi ni hivyo hivyo, yani unaweza kukutana na kajamaa kamlinzi tu ka mlangoni, lakini kanataka kukutesa bila sababu ya maana utambue kuwa upo eneo lake la kujidai.
Nilivyokuwa nasoma undergraduate (NYC, US) kuna profesa mmoja wa falsafa nilikuwa nabishana naye sana darasani. Philosophy elective. Kila kipindi ile back and forth ya kubishana ilikuwa kubwa sana darasani. Kubwa mpaka nikawa najiona kama nina dominate lile darasa. Mpaka siku moja dada mmoja akaniuliza, hivi unavyombishia yule Profesa, huwa unaamini kweli zile hoja, au unamfanyia show ya makusudi tu? Nikamwambia naamini kabisa.
Sasa, siku ya mtihani wa mwisho wa term, niko library nasoma ile ya mwishomwisho kabla ya mtihani, Profesa akanitumia email, anasema usije kwenye mtihani.
Nikasema mama yangu, Profesa ndiyo ananikata nisifanye mtihani kwa sababu ya ubishi wangu darasani? Ntakoma leo. Nikamuuliza kwanini?
Profesa akasema mabishano yako ya darasani yamekupasisha mtihani huu, yale mabishano si ya darasa hili la undergraduate, yale ni mabishano ya masters degree.
Nikamuuliza, sasa utanipa alama gani kwenye mtihani huu?
Akasema hakuna alama nyingine. Nitakupa A+ kwenye somo hili.
Huyo Profesa ni kila kitu tofauti na mimi. He was white, I am black, he was conservative, I was liberal, he was an old American judge, I was a young African immigrant.
Lakini, aliamini sana katika dhana ya Profesa na wanafunzi kubishana kifalsafa darasani. Yani pale nilipoona kama naharibu kubishana sana na Profesa, yeye, bila ya kunionesha wazi, alikuwa anafurahia sana kuona ana mwanafunzi anayejiamini, anayejibizana, anayeweza kuonesha kasoma mambo mengi na anaweza kuyatetea.
Hata baada ya kumaliza somo lile, alinitaka niwe naenda kwenye picnics zao anipe introductions kwenye networks zao, ila mimi nikawa nina mambo mengi tu.
Profesa yule alinifikirisha sana. Nikajiuliza, hivi hapa ningekuwa UDSM ningeweza kubishana na Profesa hivi, halafu anipe A+ kutokana na mabishano yangu ya darasani?
Thubuuutuuu.
Sasa hapo ndipo wanafunzi wanashindwa kujenga confidence, creativity, critical thinking skills.
Wanakwenda kikondoo kondoo wakiogopa ma Profesa tu.
Wanaogopa wakimbishia Profesa, atawashika shati awapige disco.
Wanasoma ili wapate cheti tu, si kuelewa mambo.
Tz hawaamini ktk individual ability na giftedness. Wanaamini nikikutangulia kitaaluma manaa yake huna uhalali wa kunikosoa, hata kama ni hoja. In short patakaa sawa labda baada ya miaka 30 au 40 ijayo maana waliopo ni conservatives. Hasa hapo udsm.Hii ni mentality fulani ya Kibongo, si UDSM tu.
UDSM inaweza kuwa kinara kwa sababu kuna ile hadhi ya chuo cha kwanza, watu wana Status Anxiety vibaya sana.
Mimi huwa naiita "Kafkaesque Kerfuffle". Kufuatia hadithi za Franz Kafka. Ukienda kwenye maofisi ni hivyo hivyo, yani unaweza kukutana na kajamaa kamlinzi tu ka mlangoni, lakini kanataka kukutesa bila sababu ya maana utambue kuwa upo eneo lake la kujidai.
Nilivyokuwa nasoma undergraduate (NYC, US) kuna profesa mmoja wa falsafa nilikuwa nabishana naye sana darasani. Philosophy elective. Kila kipindi ile back and forth ya kubishana ilikuwa kubwa sana darasani. Kubwa mpaka nikawa najiona kama nina dominate lile darasa. Mpaka siku moja dada mmoja akaniuliza, hivi unavyombishia yule Profesa, huwa unaamini kweli zile hoja, au unamfanyia show ya makusudi tu? Nikamwambia naamini kabisa.
Sasa, siku ya mtihani wa mwisho wa term, niko library nasoma ile ya mwishomwisho kabla ya mtihani, Profesa akanitumia email, anasema usije kwenye mtihani.
Nikasema mama yangu, Profesa ndiyo ananikata nisifanye mtihani kwa sababu ya ubishi wangu darasani? Ntakoma leo. Nikamuuliza kwanini?
Profesa akasema mabishano yako ya darasani yamekupasisha mtihani huu, yale mabishano si ya darasa hili la undergraduate, yale ni mabishano ya masters degree.
Nikamuuliza, sasa utanipa alama gani kwenye mtihani huu?
Akasema hakuna alama nyingine. Nitakupa A+ kwenye somo hili.
Huyo Profesa ni kila kitu tofauti na mimi. He was white, I am black, he was conservative, I was liberal, he was an old American judge, I was a young African immigrant.
Lakini, aliamini sana katika dhana ya Profesa na wanafunzi kubishana kifalsafa darasani. Yani pale nilipoona kama naharibu kubishana sana na Profesa, yeye, bila ya kunionesha wazi, alikuwa anafurahia sana kuona ana mwanafunzi anayejiamini, anayejibizana, anayeweza kuonesha kasoma mambo mengi na anaweza kuyatetea.
Hata baada ya kumaliza somo lile, alinitaka niwe naenda kwenye picnics zao anipe introductions kwenye networks zao, ila mimi nikawa nina mambo mengi tu.
Profesa yule alinifikirisha sana. Nikajiuliza, hivi hapa ningekuwa UDSM ningeweza kubishana na Profesa hivi, halafu anipe A+ kutokana na mabishano yangu ya darasani?
Thubuuutuuu.
Sasa hapo ndipo wanafunzi wanashindwa kujenga confidence, creativity, critical thinking skills.
Wanakwenda kikondoo kondoo wakiogopa ma Profesa tu.
Wanaogopa wakimbishia Profesa, atawashika shati awapige disco.
Wanasoma ili wapate cheti tu, si kuelewa mambo.
Elimu kiasili ipo kawaida sana na itafanikiwa kama michakato ya elimu ikiwa rafiki. Cha ajabu maarifa yanamilikiwa na hao Prof na lecturers na kuyaaminisha kuwa ni magumu kupata ktk muda muafaka. Lecturers wengi hawatoi guidance zaidi ya ubabe tu.Mtu aliyesoma bachelor hata hapo nairobi akienda kusoma udsm lazima akimbie hata wao wanajua
Bongo elimu sio kuongeza maarifa ni kukomoana, na lecturer anayekomoa wanafunzi ndio anaonekana anajua
Pathetic
Sasa kama hapo mtu inabidi apewe matokeo as soon as possible ila wanachelewesha makusudi maana yake ni nini kama sio usenge na ujinga wa jalalani
Tatizo miaka 30 iliyopita nilikuwa nafikiri watabadilika miaka 30 ijayo, ila kinachotokea sasa inaonekana wanarithishana ujinga kwa kasi kubwa kuliko wanavyoweza kubadilika.Tz hawaamini ktk individual ability na giftedness. Wanaamini nikikutangulia kitaaluma manaa yake huna uhalali wa kunikosoa, hata kama ni hoja. In short patakaa sawa labda baada ya miaka 30 au 40 ijayo maana waliopo ni conservatives. Hasa hapo udsm.
UDASA inapaswa ijitathimini yenyewe kuhusu hatma ya UDSM, maprofesa na madokta wabobevu wanakimbilia katika siasa na biashara wakati huo huo kuna changamoto nyingi za kitaaluma kama hizi zikizidi kuongezeka kila kukicha.1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.
2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi Machi/Aprili 2026 Kwa ajili ya kupelekwa Kwa external examination. Kila tukiuliza ni danadana. Wengi wetu ruhusa za masomo zimekwisha na mwajiri anataka cheti vinginevyo tutakosa vyote (Kazi na masters). Tuna mengi ya kusema kuhusu hicho Chuo ila ngoja hili lipite kwanza. TUMECHOKA!
Awali tulipaswa kuhitimu Mei 2026 (miezi 18 toka kupata admission) ila tena kwa uzembe tu, tukaambiwa haiwezekani mpaka Disemba lakini bado hakuna dalili maana hakuna anayetoa jibu la lini tutapata matokeo yetu. Ukienda kuulizia ofisi ya Mratibu wa Postgraduate unaambuliwa kunangwa tu.
Kama wewe ni mhitimu wa Master's una shida! Yaani dissertation zinapelekwa "Kwa external examination"...!!? Kwanza External examination ni nini? Btw naamini degree yako ya kwanza hukupata kutokea Udsm...Pole sana Teacher!1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.
2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi Machi/Aprili 2026 Kwa ajili ya kupelekwa Kwa external examination. Kila tukiuliza ni danadana. Wengi wetu ruhusa za masomo zimekwisha na mwajiri anataka cheti vinginevyo tutakosa vyote (Kazi na masters). Tuna mengi ya kusema kuhusu hicho Chuo ila ngoja hili lipite kwanza. TUMECHOKA!
Awali tulipaswa kuhitimu Mei 2026 (miezi 18 toka kupata admission) ila tena kwa uzembe tu, tukaambiwa haiwezekani mpaka Disemba lakini bado hakuna dalili maana hakuna anayetoa jibu la lini tutapata matokeo yetu. Ukienda kuulizia ofisi ya Mratibu wa Postgraduate unaambuliwa kunangwa tu.
Itakuwa kilaza, umekimbilia st Josephina university? Wenzio wameondoka na Phd ndani ya 3 years.Ndio maana nilikimbia Msc in Data science hapo Coict intake ya 2022. Niliona niujinga na kupotezeana muda
Na uhakika mimi hii digrii yangu moja . Imenisaidia sana kuliko hiyo PhD yako ya chupi kutoka kwenye hivyo vyuo vya uchochoroniItakuwa kilaza, umekimbilia st Josephina university? Wenzio wameondoka na Phd ndani ya 3 years.
Itakuwa mvivu wa kuandika paper.
Sure. Pale maarifa yamehodhiwa bahati mbaya hawataki kubadilika na wanaendelea kurithishana.Tatizo miaka 30 iliyopita nilikuwa nafikiri watabadilika miaka 30 ijayo, ila kinachotokea sasa inaonekana wanarithishana ujinga kwa kasi kubwa kuliko wanavyoweza kubadilika.
Matokeo yake kasi ya kibadilika inakuwa ndogo sana.
UDSM miaka ya 1960s na 1979s wamesoma waliokuwa wanamapinduzi wakati huo kina Yoweri Miseveni (1967 -1970), ukisoma walichoandika katika vijarida vyao kama "Cheche" utasema hawa ndio vijana tunaowahitaji kuongoza Africa.
Ukiangalia madudu wanayofanya sasa hivi, utajiuliza, wale vijana wanamapinduzi wameenda wapi?
Wote wamerithishwa ujinga polepole mpaka wamekuwa watu tofauti kabisa.
Inauma Sana, chuo changu hiki,1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.
2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi Machi/Aprili 2026 Kwa ajili ya kupelekwa Kwa external examination. Kila tukiuliza ni danadana. Wengi wetu ruhusa za masomo zimekwisha na mwajiri anataka cheti vinginevyo tutakosa vyote (Kazi na masters). Tuna mengi ya kusema kuhusu hicho Chuo ila ngoja hili lipite kwanza. TUMECHOKA!
Awali tulipaswa kuhitimu Mei 2026 (miezi 18 toka kupata admission) ila tena kwa uzembe tu, tukaambiwa haiwezekani mpaka Disemba lakini bado hakuna dalili maana hakuna anayetoa jibu la lini tutapata matokeo yetu. Ukienda kuulizia ofisi ya Mratibu wa Postgraduate unaambuliwa kunangwa tu.
Ila pia sishangai maana kama waliotoka hapo ndio kina kibudu na wenzao ambao wapo tayari kujivua utu ili wapate madaraka