Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.
MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15
Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka.
Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15
Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka.
Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
Kwanza cha kushangaza mji mzima hakuna safari larger.
Balimi ndogo, kilimanjaro ndogo serengeti ndogo bei 2,500/= wakati dar 2,000/=,konyagi ndogo elfu 6 wakati Dar elfu 5.
Hizo bei za kigoma sio poa wazee,zinatukata uhondo asee
FEDHA UJENZI WA MELI ABIRIA 600 ZATAFUNWA,MRADI WAKWAMA KIGOMA
Mradi mkubwa wa Meli ya abiria 600 iliyokuwa imekusudiwa kujengwa mkoani Kigoma umekwama kutokana na fedha za awali (advance) zilizokuwa zimetolewa na serikali ili kuanza ujenzi zimetafunwa.
Mradi wa meli hiyo ambayo ujenzi wake...
Upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo umesababisha mapaa ya nyumba 15 kuezuliwa huku baadhi ya nyumba zikibomoka katika Vijiji vya Kasana na Nyarugusu, Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma.
Tukio hilo limetokea Oktoba 21 na 22, 2026, ambapo upepo huo pia...
Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali.
Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
KIGOMA: Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia kikamilifu zoezi la kuhakiki taarifa za mali zao na kutoa maoni pale wanapoona kuna taarifa ambazo hazijaandikwa kwa usahihi katika mchakato wa uthamini.
Mthamini Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rashid...
KIGOMA: Tukio la wizi limetokea usiku wa kuamkia leo katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Kigoma, ambapo mikeka 100 imeibwa ikiwa na thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 1.5.
Mikeka hiyo ilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Babalevo, kwa...
Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu tunapokuwa mjini vijana tunawaza mambo makubwa sana, tunawaza biashara, skills, ufundi n.k mfano...
Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa TRC
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la utwaaji wa ardhi linaloambatana na uhamishaji wa makaburi katika Kipande cha Sita cha mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma linaloendelea kufanyika wilaya ya...
Nimekuwa sehemu zote mbili katika shughuli zangu binafsi kigoma kwa maendeleo iko chini lakini singida naona imejifia kabisa, hii mikoa inazidiwa kwa mbali na Town council nyingi kimaendeleo na utafutaji wa fursa.
Hivi watu wanaoishi singida wanapataje maisha? Kwa nilivyoona pale ukienda hata...
Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67.
: 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈
Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti 28, 2026 katika eneo la bandari, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na...
Wakazi wa Kigoma wanalalamikia kuchelewa kupatiwa huduma ya TTCL Fiber licha ya kulipia gharama za kuunganishiwa huduma hiyo zaidi ya miezi miwili iliyopita.
Inadaiwa kuwa kila wanapowasiliana na ofisi za TTCL huambiwa kuwa kuna uhaba wa vifaa, huku wakipewa ahadi za mara kwa mara ambazo...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan umeufungua Mkoa wa Kigoma kwa kufanya ufikike kwa urahisi, kupunguza gharama za safari na kufungua fursa za kiuchumi kwa wakazi wake.
Akizungumza kwenye mikutano aliyofanya...
Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita.
Baadhi ya nyumba zilishapata huduma, ila kuna wengine bado hatujapata hiyo huduma.
Tukaambiwa kwamba sisi...
Anonymous
Thread
buhigwe
fedha
kigoma
miaka
miaka mitatu
nishati ya umeme
umeme
umeme vijijini
vijiji
wakala
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na kutunza miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kuendelea kuwa salama kwa watumiaji.
Rai hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.