TRC waendelea na zoezi la kufukua makaburi Uvinza kwa ajili ya ujenzi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa TRC

1789817582590.png

Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la utwaaji wa ardhi linaloambatana na uhamishaji wa makaburi katika Kipande cha Sita cha mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma linaloendelea kufanyika wilaya ya Uvinza, mkoani Kigoma.

Zoezi hilo linalenga kupisha maeneo mbalimbali ya ujenzi wa mradi huo wa kimkakati ili ikiwemo ujenzi wa njia kuu ya reli, madaraja na vivuko.

Mthamini kutoka TRC, Bw. Hassan Mbaga, ameeleza kuwa zoezi hilo la uhamishaji makaburi linagusa vijiji mbalimbali vikiwemo Nyangabo, Nguruka, Gweru, Malagarasi, Mpeta, vilivyopo katika wilaya ya Uvinza - Kigoma.

Katika kusaidia mchakato wa zoezi hilo, Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Bw. Hussein Katelanya , amebainisha kuwa zoezi la uhamishaji makaburi linafanyika kwa ushirikiano wa karibu kati ya TRC, Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya, na Timu ya Huduma za Afya Kinga.

Soma pia Zaidi ya Trilion 6 kutumika kujenga kipande cha SGR Tabora hadi Kigoma

Chanzo: tzrailways
 
Kwani hawawezi kuchepusha? Sehemu kama hizo wakihamisha wakapitisha Reli isije mizimu ikawa n=inakunywa damu sana.
 
muslims hawatahmini makaburi, kaburi halina maana yoyote kwao, kwenye islam kaburi ni la muda tu na haliruhusiwi kujengewa, kuandikwa jina tu au hata kumbu kumbu ya aina yoyote ile na wanaweza kuzika mwili mwingine juu yake pia i.e kaburi kwenye islam linaweza kupotea na hakuna anayejali ni kawaida kwenye islam, isitoshe kwenye islam hata inaruhusiwa kuzika miili mingi kaburi moja.

you see, thats what is going on kwenye nchi yetu na kwa nini wanafanya hivyo jibu liko hapo juu ...
 
La Mudi wamelijengea pale Madina
 
La Mudi wamelijengea pale Madina

kuna yule waziri mmoja wa serikali ya tanzagiza juzi juzi tu hapa babake alifia huko arabian desert amezikwa huko huko sasa hivi siajabu hakuna kaburi wala kumbukumbu yoyote ni mavumbi au hata siajabu wameshazika wengine juu, hawa watu ndiyo maana hawafiti sehemu yoyote ile dunia hii hata wao kwa wao tu shida, nchi zao vita na kuuwana kila siku, ni weidos ...
 
Back
Top Bottom