Kwa nini Kigoma pombe ni ghali namna hii?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Kwanza cha kushangaza mji mzima hakuna safari larger.

Balimi ndogo, kilimanjaro ndogo serengeti ndogo bei 2,500/= wakati dar 2,000/=,konyagi ndogo elfu 6 wakati Dar elfu 5.

Hizo bei za kigoma sio poa wazee,zinatukata uhondo asee
 
Huko ni Burundi
 
Back
Top Bottom