barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Pfizer

    Tanzania imeanzisha Majaribio ya Ujenzi wa Barabara kwa Teknolojia ya Armarseal

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii inalenga kuboresha uimara wa barabara na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara. Moja ya...
  2. Waufukweni

    Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  3. The Watchman

    RC Kigoma afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo, asema barabara za vumbi zitasahaulika kuelekea Tabora

    Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa mkandarasi yeyote atakayekiuka makubaliano ya mkataba na kukwamisha miradi hiyo. Kauli hiyo imetolewa...
  4. The Watchman

    Serikali imelipa takribani bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ulega ameyasema hayo jijini Dodoma siku ya Jumapili Februari 9...
  5. Roving Journalist

    DAWASA na TARURA warekebisha barabara zilizoharibiwa kutokana na mifumo ya Majitaka Mitaa ya Mbezi Beach

    Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
  6. D

    Utaratibu wa unyampara kwenye matumizi ya barabara zetu umekithili, Viongozi na magari ya majeshi waelekezwe matumizi ya barabara

    Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu. Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana! Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa...
  7. kasanga70

    Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, au ilijengwa bure?

    Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure? Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa nk. Nafikiri kwa sasa moja ya barabara muhimu sana na za kimkakati kwa uchumi wa nchi ni hii barabara...
  8. M

    Zanzibar: Barabara iliyopo Kwerekwe Makaburini inakuwa hatarishi kwa kuwa Madereva wengi hawazingatii Zebra

    Huku kwetu mitaa ya Kwerekwe Makaburini kuna mistari ambayo inatumika kuruhusu Watu kuvuka Barabarani maarufu kwa jina la Zebra. Hapo nazungumzia barabara ya kubwa ya kwenda Fuoni, lakini cha ajabu madereva wengi hawasimamii Sheria za barabarani ikiwemo kutozingatia matumzi ya Zebra hizo...
  9. The Watchman

    Mbunge ailalamikia barabara ya Iringa - Dodoma kuwa na mashimo mengi

    Mbunge wa viti maalumu wa Chadema ameihoji serikali kuhusu mpango wa kuijenga kwa upya barabara ya Iringa - Dodoma ambayo imekuwa na mashimo hali inayoondoa hadhi ya barabara hiyo kuunganisha mikoa miwili Kwa mujibu wa Naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi Mha. Godfrey Kasekenya amesema serikali...
  10. BigTall

    Barabara ya Igunga (Tabora) hadi Rungwe (Mbeya) ni mbovu, inatupa mateso tunaoitegemea

    Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara. Kwanza kabisa kabla sijaingia katika hoja yangu ya msingi, huku vijiji vyetu vina changamoto kubwa ya Barabara kuingia kwenye vijiji...
  11. Roving Journalist

    DOKEZO Singida: Barabara ya Unyakumi yaanza kurekebishwa baada ya malalamiko kuwa inawatesa watumiaji

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari wamekuwa wakiteseka kwa kuwa na Barabara mbovu, Barabara hiyo imeanza kufanyiwa maboresho. Januari 30, 2025, Mwanachama huyo alisema hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua...
  12. Torra Siabba

    KERO Serikali iziangalie Barabara za Kahama, mashimo-mashimo ni mengi na inakera kutumia

    Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu. Barabara za mjini takribani kote ni changamoto, mashimo mashimo kila kona jambo ambalo linahatarisha usalama wa vyombo vyetu kuharibika mara kwa...
  13. M

    Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  14. kadeti

    Barabara za Kahama mjini haziendani na Kasi ya ukuaji wa mji

    Nimetembelea kahama Leo takribani siku ya Tano mfululizo mita Kwa mitaa naona jinsi biashara zilivyoshamiri, Kahama Kuna pool kubwa Sana ya walipa Kodi kiasi kwamba naona TRA kana kwamba hawawezi kuwafikia wote. Kwa ujumla mji wa Kahama umechangamka Sana kibiashara kila angle zote za mji, Kati...
  15. B

    KERO Singida: Wakazi wa Unyakumi tunateseka na ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji

    Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha. Wanakwenda na School bus zinaishia mbali kwasababu ya ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji...
  16. M

    Mkurugenzi wa Itilima na ukimya wa ubovu wa Barabara Nanga-Migato

    Wanajamvi huyu Mkurugenzi amekuwa kimya kwa ubovu wa Barabara Nanga-Migato haswa haswa eneo la darajani karibu na kanisa la Roma, eneo hili limekuwa kikwazo kikubwa sana kwetu wafanyabiashara tunaosafirisha Mizigo na mazao gari inaweza kukwama hata kwa siku 2, ajabu ni kuwa Mkurugenzi mbali na...
  17. Roving Journalist

    Licha ya baadhi ya barabara za Dar kufungwa, TRC yasema ratiba ya Treni zinaendelea kama ilivyopangwa

    TAARIFA KWA UMMA RATIBA ZA TRENI KUFUATIA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 27-28, 2025 Dar es Salaam, Januari 26, 2025. Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa ratiba ya safari za treni kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma...
  18. chiembe

    Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  19. Ojuolegbha

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  20. Half american

    Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

    JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika. Taarifa ya...
Back
Top Bottom