Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.

Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.

Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.

Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
 
Inasikitisha sana.
 
ok. :1Head:
 
Barabara imezidiwa sana na magaari, pia imeharibika sana.
 
Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.

Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.

Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.

Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
Je vipi kuhusu mvua za El-nino zikianza kudondoka bado barabara hiyo itaendelea kupitika kwa muda huo wa miaka mitatu ??!
 
Back
Top Bottom