Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

Waongeze matrafiki wa kuongoza magari kila sehemu.maderev wenyewe ndo uwa wanaweka foleni.
Asa malori unakuta kamba ndefu lakini ukifika mbele unaona Lori Moja ndo chanzo linajiburuza
Hii napinga mkuu na kitu inabid ujue magari Kuna kuharibika iyo IPO lkn kama bara bara nyembamba ikiharibika na bara bara ya njia mbili tu ujue ni mtihan na Ile ndo lango kuu la pwani na dar es salaam Kuna siku nilipitia saa 11 asubuh gari imepaluana kidog tu wakat wanasubir traffic ilizuka folen kubwa mnoo na pia ving,ora vikipita wanataka watu wakae pembeni bara bara imelika upande ndomana ajali kila siku kama Kuna wakazi wa hapo watatoa majibu ya hili kuhusu traffic wapo wengi tu ila bara bara nyembamba na gar zimeongezeka kiongozi
 
Umesema ukweli kabisa
 
Masaa 6 ndio muda wa kawaida wa sasa, wakati zamani ilikuwa Masaa 2:30 tu au ma3
Kweli kabisa. Siku Ile tulitumia ujanja wa barabarani ndio ikawa masaa matano. Ila ingekuwa kawaida ingekuwa Zaidi ya sita. Viongozi waliangalie hili.
 
Waongeze matrafiki wa kuongoza magari kila sehemu.maderev wenyewe ndo uwa wanaweka foleni.
Asa malori unakuta kamba ndefu lakini ukifika mbele unaona Lori Moja ndo chanzo linajiburuza
Hii itakuwa solution ya muda, ila cha msingi wapanue barabara iwe nne. Mbili kwenda na mbili kurudi.
 
Tunajenga viwanja vya AFCON, Ujinga wa ma CCM.
Wajinga sana. Ni aibu kutoka Dar hadi Moro kwa masaa matano hadi sita. Ni aibu sana. Sema viongozi wetu hawana muda na mambo ya msingi, wanahangaika na temporary issues umiss, AFCON etc
 
Kwani hakuna sababu ya kujenga barabara nyingine ya kupita Bagamoyo Msata Turiani Dumila Dodoma ?
 
Umesema ukweli kabisa
Nilikaa 2 weeks kila baada ya siku mbili unaona ajali na hapo zile gar za mkoani zinapita morogoro road ya zamani mjin bado haujatanuka vizur sijui wanashindwa wapi kupangaliia bara bara vizur before haijawa too late kupunguza usumbufu
 
Kila nikiandika nafuta, cjui hata niandike nini, Nina mchanganyiko wa hisia

Nchi ipo kwenye comma stage, inajiendea kama kuku aliyekatwa kichwa..
Barabara zote karibia nchi nzima zimekufa, ukitafuta nyuzi humu jf zinazolalamikia uchakavu wa barabara ni lukuki

Viongozi nao wamejawa kiburi kuliko wakati wote kwenye historia
Tuna watawala wasiojali shida za watanzania. Hawana uzalendo
 
Back
Top Bottom