a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,799
- 1,842
Masaa 6 ndio muda wa kawaida wa sasa, wakati zamani ilikuwa Masaa 2:30 tu au ma3Pale inahitajika Barbara nne. La sivyo watu watatumia masaa sita kufika Morogoro
Masaa 6 ndio muda wa kawaida wa sasa, wakati zamani ilikuwa Masaa 2:30 tu au ma3Pale inahitajika Barbara nne. La sivyo watu watatumia masaa sita kufika Morogoro
Hapo kikipatikana kisingizio cha elnino tumekwishaJe vipi kuhusu mvua za El-nino zikianza kudondoka bado barabara hiyo itaendelea kupitika kwa muda huo wa miaka mitatu ??!
UVCCM a.k.a Wala Rushwa watakutupia maweSiku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.
Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.
Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
Alipokufa tu Rais wetu kila kitu kikasimamia hapo KIBAHA Maili MojaSiku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.
Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.
Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
Tunajenga viwanja vya AFCON, Ujinga wa ma CCM.Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.
Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.
Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
😅😅😅 Kwamba wao hawana macho ya kuona tatizo la barabaraUVCCM a.k.a Wala Rushwa watakutupia mawe
Yaani hao trafiki hata wakikaa kila baada ya km 1 bado tatizo litakuwa kubwa zaidi yaani ufumbuzi wa pekee ni kujenga barabara sita hadi nane jambo ambalo tumechelewa sana maana tulipaswa kuwa kwa sasa zinakamilishwaWaongeze matrafiki wa kuongoza magari kila sehemu.maderev wenyewe ndo uwa wanaweka foleni.
Asa malori unakuta kamba ndefu lakini ukifika mbele unaona Lori Moja ndo chanzo linajiburuza
Ubovu na na kuzidiwa kwa barabara ni sawa na kuongeza foleni ni sawa na kuongeza matumizi ya nishati tofauti na kiasi halali cha nishati na hii tija kwa wauza nishati.kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
NdogoBilioni 730 zimetengwa kwenye Elnino
Hii Fedha Inajenga Njia Nne Dar Dodoma na Chenji inbaki.
730,000,000,000/=
Sijaelewa unachomaanisha ukweli ni kwamba nchi inaingia hasara kubwa kwa miundombinu ya barabara isiyoendana kabisa na ongezeko la matumizi kifupi ni kwamba tuko nyuma sana kwa hiyo hata kama mantiki yako ilikuwa ni kunufaika na uuzaji wa nishati bado tunapoteza sana kuliko tulivyostahiliUbovu na na kuzidiwa kwa barabara ni sawa na kuongeza foleni ni sawa na kuongeza matumizi ya nishati tofauti na kiasi halali cha nishati na hii tija kwa wauza nishati.
Kupanga ni kuchagua.
Tufanye kilomita moja gharama yake 3bil,hiyo 730bil inapiga hata kilometa 220.Ndogo
Hata tungeacha yote basi tufanye kibaha Moro awamu ya KwanzaKwa ujumla barabara yote kuanzia Kibaha mpaka Tunduma inahitajika kuwa njia sita kwa uchache tatu kwenda tatu kurudi. Kwa aliyefika Tunduma ndio anaweza kujua ni kwa kiasi gani kama taifa tunapoteza fursa ya kuongeza mapato. Miezi michache iliyopita nilifanya safari kwa barabara nilichojionea ni kuwa tunapoteza mapato sana kutokana na ubovu wa barabara. Nina uhakika miundo mbinu ya barabara ingekuwa ipo vizuri serikali ingeingiza pesa maradufu kuliko inazoinginza sasa hivi.
Juzi nimeenda Morogoro nimetumia masaa matano. Nadhani masaa sita yanafika kwa sasa.Kwani haijafika kutumia masaa 6 bado?