Hata vilema na viwete inawahusuNgoja tuisubiri,mlio na magari hili linawahusu...
Gentleman,Tozo ya barabara.why?👇View attachment 3700247
Wajibu kwanza, Fedha za Road Fund wamepeleka wapi?
Mzee huwa ni domino effect (chain reaction).Ngoja tuisubiri,mlio na magari hili linawahusu...
Ninyi wezi mnaojitspikia baada ya kuiba, leteni majibu Road Fund imeenda wapi.Chivayo wewe.Gentleman,
waTanzania wazalendo,
tupo tayari kubanana wenyewe kwa wenyewe, kodi na tozo mbalimbali ili kujenga taifa letu wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani.
Go ahead waziri Masanja we are ready for that move 🤝
jiandae kulipa kodi na tozo kwa maendeleoa ya miundombinu ya taifa letuNinyi wezi mnaojitspikia baada ya kuiba, leteni majibu Road Fund imeenda wapi.Chivayo wewe.

Mmeiba pesa mpaka pesa za maendeleo zimekosekana
Tozo zitawekwa na bado barabara zitakuwa na mashimo.
Naungana na serkali kwa hili hapa tutapata kuingeza bajeti za road fund hasa matengenezo ya barabara
Wanataka kuanza wizi.
Jibu swali wewe nguruwe.jiandae kulipa kodi na tozo kwa maendeleoa ya miundombinu ya taifa letu![]()