Wameshindwa kukusanya kodi ili watengeneze barabara, sasa wanampango wa kuanzisha tozo za barabara.

Wameshindwa kukusanya kodi ili watengeneze barabara, sasa wanampango wa kuanzisha tozo za barabara.

Jibu swali wewe nguruwe.
Road fund imeelekezwa wapi ?
tuliza mihemko jukwaani Nyumbu,
hakuna haja ya kubabaina na porojo useless jukwaani,

ni muhimu sana kama mzalendo wa taifa hili kujiandaa kisaikolojia kwaajili ya kulipa tozo na kodi kwa maendeleo ya miundombinu ya taifa letu :1Head:
 
Gentleman,
waTanzania wazalendo,
tupo tayari kubanana wenyewe kwa wenyewe, kodi na tozo mbalimbali ili kujenga taifa letu wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani.

Go ahead waziri Masanja we are ready for that move 🤝
Unasema kwamba bila kutegemea misaada na mikopo ya wahisani,ngoja nikupe mchanganuo kidogo then uniambie mawazo yako
Mikopo ya Tanzania kwa awamu(Maraisi watano) tano(1961-Machi 2021)=Shilingi Trillioni 60.7
Mkopo wa Tanzania kwa awamu moja(Raisi mmoja) ambayo haijaisha(machi 2021-sasa)=Trilioni 73.6
Jumla ya mikopo=Trilioni 134.3
Na bado unashadadia tozo kama hizo wakati hata mikopo iliochukuliwa kwa awamu moja hakuna ilichofanya na ni mingi kuliko ya tangu tupate uhuru na hakuna cha ajabu kulichofanyika
 
acha porojo na upotoshaji useless jukwaani gentleman na itapendeza zaidi
msikilize waziri hapa :1Head:
 
Attachments

  • kitila.mp4
    36.9 MB
Shida sio ukusanyaji. Shida kwenye utumiaji. Zinaelekezwa kunakosgahili?
tutafanya reforms za kisheria kwenye matumizi gentleman,
ili hatimae kila shilingi itakayokusanywa, ionekane kwenye maisha ya mTanzania kwa maana ya miundombinu bora kila eneo Tanzania :1Head:
 
tutafanya reforms za kisheria kwenye matumizi gentleman,
ili hatimae kila shilingi itakayokusanywa, ionekane kwenye maisha ya mTanzania kwa maana ya miundombinu bora kila eneo Tanzania :1Head:
Kama kweli, haina haja ya kuongeza tozo. Tuna bandari, tuna madini, tuna gas, tuna makaa ya mawe, tuna mlima, tuna mbuga za wanyama. Hivi vyote vinatosha kumfanya mtanzania aifurahie nchi yake.

Tuache kuwabebesha watz mzigo mzito wa kuwafanya watumishi wa serikali kuishi maisha ya anasa
 
kwa faida ya wadau wote wa jf,
ungeiweka kwa kiswahili ingependeza zaidi gentleman but tozo na kodi ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu :1Head:
Ni kwa vile ninyi machawa hata sheria rahisi za kutetea wananchi hamzijui na wala hamjishughulishi kuzijua.
Ninyi lenu ni kile mnachowekewa mfukoni kunyonya na kukandamiza wananchi ndio raha yenu.
Extortion hata mtoto wa form 2 anaweza kuangalia maana yake kwa ku google.
 
Kama kweli, haina haja ya kuongeza tozo. Tuna bandari, tuna madini, tuna gas, tuna makaa ya mawe, tuna mlima, tuna mbuga za wanyama. Hivi vyote vinatosha kumfanya mtanzania aifurahie nchi yake.

Tuache kuwabebesha watz mzigo mzito wa kuwafanya watumishi wa serikali kuishi maisha ya anasa
hapana,
lazima itozwe ili hatimae reforms zikifanyika na maeneo yote hayo yakasimamiwa vizuri, basi makusanyo yote yasaidide taifa letu kujitegemea kiuchumi, kisiasa na kijamii bila kutegemea wahisani ambao nao hutoa fedha kwa hiyari zao.

kutoza ni lazima,
ni muhimu kujifunga mkaja vizuri sana kwa maendeleo ya taifa letu :1Head:
 
Ni kwa vile ninyi machawa hata sheria rahisi za kutetea wananchi hamzijui na wala hamjishughulishi kuzijua.
Ninyi lenu ni kile mnachowekewa mfukoni kunyonya na kukandamiza wananchi ndio raha yenu.
Extortion hata mtoto wa form 2 anaweza kuangalia maana yake kwa ku google.
hakuna mTanzania atakandamizwa na yeyote yule humu nchini gentleman,
taifa letu ni huru na ni letu sote kama waTanzania.

hayo mengine nadhani hayana maana sana na hakuna haja ya kupoteza nayo muda:1Head:
 
hapana,
lazima itozwe ili hatimae reforms zikifanyika na maeneo yote hayo yakasimamiwa vizuri, basi makusanyo yote yasaidide taifa letu kujitegemea kiuchumi, kisiasa na kijamii bila kutegemea wahisani ambao nao hutoa fedha kwa hiyari zao.

kutoza ni lazima,
ni muhimu kujifunga mkaja vizuri sana kwa maendeleo ya taifa letu :1Head:
Kuna Kodi nyingi sana nje ya hiyo tozo wanayotaka kuileta
 
Kuna Kodi nyingi sana nje ya hiyo tozo wanayotaka kuileta
nakubaliana na wewe gentleman,
nchi nyingi zilizoendelea, zimeendelea kwasababu ya wingi wa tozo na kodi,
sidhani kama Tanzania itakua ni ya kwanza kwa hilo :1Head:
 
Serikali kupitia wizara ya ujenzi wafuate strategy ilowekwa na hayati Magufuli na kuwe usimamizi wa strategy hiyo.

Lazima nchi na serikali iwe imeandaa stratejia nzuri khusu mtandao wa barabara na khasa zile barabara zote kuu za kimkakati.

Kwa mfano sasa hivi bado upo msongamano wa magari kuingia Mbezi ukitokea Morogoro na hiyo yaonyesha wazi kwamba barabara kuu ya Morogoro yahitaji kupanuliwa kuwa njia nane zikiwa nne kila upande.

Kwa mfano, serikali yaweza kuweka road tolls kati ya mpaka wa Kibaha na Morogoro na kati ya mpaka wa Iringa na Mbeya na vilevile katika mka mingine kama vile Singida na Dodoma au Mwanza na mikoa mingine.

Mfumo wa kodi bado sana kutengenezwa vile inavyotakiwa na serikali yajikuta ikikosa fedha hata za kujenga barabara na kuzifanyia matengenezp kwasababu ya wizi na matumizi yake mabaya.

Hivyo serikali kupitia wizara yaweza kufanya mambo yafuatayo:

1. Kuandika stratejia mpya ya barabara zote kubwa nchini, au Road Investiment Strategy.

2. Kuanzishwe mfuko maalum wa kuhudumia barabara hizo ambapo jukumu la uzimamizi wa mfuko huo litakuwa chini ya Tanroad.

3. Tanroad watengeneze Strategic Business Plan na Delivery Plan na waeleze katika plan hiyo kwa wizara na serikali namna watatumia vipi funds za ujenzi wa barabara pamoja na kupata leseni ya kuendesha shughuli zao.

4. Kuwe na mfuko wa taifa wa ujenzi wa barabara au National Roads Funds ambao utatoa fedha hizo kwenda kwenye RIS kila mwaka.

5. Kuwe na mfuko wa kistratejia kwa barabara kubwa na barabara za ndani ya mikoa Strategic Road Network and local roads.

6. Mifuko yote hiyo isimamiwe na mameneja na wawe wawajibike kwa waziri wa ujenzi.

Sasa tutapata vipi funds?

1. Kupitia Road Levy na khasa katika Road tolls.

2. Ushuru wa barabara yaani Road Tax moja kwa kila gari linotumia barabara.

3. Sehemu ya kodi za maendeleo katika kila halmashauri ambayo itakuw ani kwa ajili ya Local roads na sehemu kwenda Tanroads.

4. Driving licences applications and renewals

5. Parking fines

6. Ushuru wa mafuta

7. Ada za usajili wa aina yoyote kwa vyombo vyote vya moto, magari, malori, vibajaji na pikipiki.

8. Tozo ya mizani.

Ukiangalia hapo mwananchi anakuwa hajaongezewa aina yoyote ya tozo kwa ajili ya barabara iwe kwenye miamala au na ya kutolea.

Bila shaka mheshimiwa Kadogosa atasoma haya madini na ataambulia chachote.
 
nakubaliana na wewe gentleman,
nchi nyingi zilizoendelea, zimeendelea kwasababu ya wingi wa tozo na kodi,
sidhani kama Tanzania itakua ni ya kwanza kwa hilo :1Head:
Sikatai ila hizo tozo zinafanya kilichokusudiwa? Maana tunaona maisha ya viongozi yalivyo ya anasa
 
Back
Top Bottom