Wameshindwa kukusanya kodi ili watengeneze barabara, sasa wanampango wa kuanzisha tozo za barabara.

Na wakileta tutapiga kelele mitandaoni as usual then tutanyamaza na kulipa tutalipa. Sisi ndio watanzania. Acha tu wajipigie.
SOMA HIYO NA MIMI NAPENDEKEZA HIYO HAITOSHI
Tozo ya barabara.why?👇
​
View attachment 3700247
NAUNGA MKONO HOJA NA MIMI NALETA WAZO LANGU LISOME

OMBI KWA SERIKALI PENDWA KUHUSU KUONGEZA TOZO AU KUANZISHA TOZO MPYA KWA MAFUNDI UJENZI NA SEREMALA

Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano kazi iendelee.

Ombi langu kwa serikali katika bajeti ijayo naomba mupeleke sheria bungeni kuhusu tozo mpya kuhusu mafundi ujenzi na mafundi selemala.

Katika kundi ili serikali inapoteza fedha nyingi sana ,tofauti na kada zingine.

Mfano watumishi wa umma na ata sekta binafsi wanalipa kodi kupitia mishahara yao lakini kundi ili alijaguswa wala kufikiwa.
Ni kwa namna gani tutawakata kodi
Kwanza kila fundi lazima asajiliwe kwenye mfumo rasmi ambao utawekwa kama wanavyosajiliwa ,mawakili,wahandisi,wahasibu n.k ambapo wanapata leseni za kazi zao.

Hivyo katika usajili huo wapewe leseni itakayo watambua kwa kazi wanazofanya na pia katika kupata leseni hizo walipie ada ya kila mwaka na ada zinginezo .

Pia katika utohaji leseni izo zitolewe kwa mafundi wote wajenzi na seremala ambao wamepata mafunzo na wale ambao hawajapata mafunzo wapate mafunzo ya muda mfupi.

Je ni nini kifanyike kuthibiti mafundi ambao hawana leseni.

Kupitia serikali za mitaa ,kuanzia ngazi ya mtaa,kijiji,kata,tarafa hadi wilaya na mkoa kupitia viongozi waliopo jukumu lao litakuwa kukagua nyumba ambazo zinajengwa hudusani za tofali je fundi anayejenga ana leseni ya ujenzi ,na kama fundi ana leseni ya ujenzi basi fundi apigwe faini kulingana kitakachowekwa na mwenye nyumba apigwe faini kwa kiwango kitakachowekwa.

Ni nini faida yake serikali kama itasimamia eneo ili vizuri tutakusanya kodi kubwa na tutaweza kuendesha miradi mingi kwa muda mfupi.Na tutakuwa tunapunguza utegemezi wa mikopo kama eneo ili tutacheza vizuri.

Na pia kundi ili isionekane linaumia au kubeba mzigo wa kodi nao itawasaidia kudai haki zao kisheria pale wanapodhulumiwa malipo yao kwa kazi wanazofanya ,manake mafundi wengi wanaongoza kudhulumia na awana chombo cha kuwatetea ,hivyo kupitia ilo pia iwekwe sheria itakayolinda haki zao sio haki za wasaniii tu.

Pia katika haki zao liwekwe pendekezo la malipo yao ambayo watakuwa wanalipwa kulingana ukubwa wa nyumba au thamani ya kitu watakachotengeneza na wawe na mikataba ya ujenzi ambayo itakuwa ipo chini ya serikali za mtaa,kijiji na kata ata akidhulumiwa basi adai stahiki zake .

Huu ni mtazamo wangu na niliwaza kama ningepata nafasi ya kuchaguliwa kuwa diwani 2025 kupitia chama changu penda CCM nilitaka hoja hii ni ipeleke kwenye baraza letu la madiwani ili halmashauri yetu ingeanza kufanya majaribio kama ingepita.

Napenda kuwasilisha

By [email protected]
 
Back
Top Bottom