Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Kaka busulwangiri umeijuaje?Mzee huwa ni domino effect (chain reaction).
Mwenye gari akishatozwa tu inamuathiri hata mwenye baiskeli au wenye TZ 11 huko Busulwangiri.
Kaka busulwangiri umeijuaje?Mzee huwa ni domino effect (chain reaction).
Mwenye gari akishatozwa tu inamuathiri hata mwenye baiskeli au wenye TZ 11 huko Busulwangiri.
Beira Baby Boy inamaana unajuaga mimi kwetu ni Papua New Guinea?Kaka busulwangiri umeijuaje?
Road toll ipo kwenye mafuta tayari sasa hii tozo mpya ya nini tena?
Misaada gani unaongelea, kuna mzungu anatoa pesa yake kwa majizi ya kura? Uzeni zile raslimali mnazohadaa wananchi kuwa mnazo hadi wazungu wanawaonea wivu.Hapa dawa ni kupunguza ukubwa wa serekali maana makusanyo mengi huenda kwenye mishahara na posho!, digital govt a solution!,digital payment ilazimishiwe kwa nguvu zote,ni kitu kibaya sana 80% ya makusanyo kuelekezwa kwenye mishahara na 20% ndiyo ya maendeleo+ fedha za ufadhili ziwe za maendeleo!, atleast 50% za fedha za makusanyo ziingie kwenye maendeleo+ misaada,na 50% ziingie kwenye mishahara.
Hii tozo itakuwa double taxation tayari ipo kwenye mafuta!Gentleman,
waTanzania wazalendo,
tupo tayari kubanana wenyewe kwa wenyewe, kodi na tozo mbalimbali ili kujenga taifa letu wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani.
Go ahead waziri Masanja we are ready for that move 🤝
tozo kwenye miundombinu ni jambo la kawaida kote ulimwenguni na Tanzania haitakua ya kwanza kutoza kodi hiyo.Hii tozo itakuwa double taxation tayari ipo kwenye mafuta!
View attachment 3700470View attachment 3700471
tozo kwenye miundombinu ni jambo la kawaida kote ulimwenguni na Tanzania haitakua ya kwanza kutoza kodi hiyo.
Ni muhimu zaidi waTanzania wote kujifunga mkaja na kulipa tozo hiyo kwa maendeleo ya miundombinu ya na maendeleo ya taifa letu na kujitegemea kiuchumi 🐒
Wewe kwenu si Meru ya singisi sasa busurwangiri umepajuaje?Beira Baby Boy inamaana unajuaga mimi kwetu ni Papua New Guinea?
Polepole yuko wapi?hakuna mTanzania atakandamizwa na yeyote yule humu nchini gentleman,
taifa letu ni huru na ni letu sote kama waTanzania.
hayo mengine nadhani hayana maana sana na hakuna haja ya kupoteza nayo muda![]()
wawapi hao and who are they among over 70 milioni Tanzanians gentleman?🐒Polepole yuko wapi?
Nchimbi je?
Okt29 wewe mwenyeww uliua wangapi kwa mkono waki?
Mkuu labda unieleweshe kwanza, hiyo tozo itakuwa tofauti na ile inayotozwa kwenye mafuta?Gentleman,
waTanzania wazalendo,
tupo tayari kubanana wwe kwa wenyewe, kodi na tozo mbalimbali ili kujenga taifa letu wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani.
Go ahead waziri Masanja we are ready for that move 🤝
Kwa wakati muafaka,Mkuu labda unieleweshe kwanza, hiyo tozo itakuwa tofauti na ile inayotozwa kwenye mafuta?
You kill with ease, lakini auae kwa upanga, atauwawa na upanga wake mwenyewe.wawapi hao and who are they among over 70 milioni Tanzanians gentleman?🐒
Tanzania hata wakitaka tuchangie kodi bila kupata huduma yeyote hakuna kitu watafanya majambazi tu hayo unalipia gari kodi 65m harafu unasema ulipie toll road ni Nchi gani ina kodi kubwa za magari kama si Tanzania kwa nini hiyo hiyo kodi ya magari kama wameshindwa kupunguza wasitenge kiasi iwe kwa ajili ya bara bara..Serikali kupitia wizara ya ujenzi wafuate strategy ilowekwa na hayati Magufuli na kuwe usimamizi wa strategy hiyo.
Lazima nchi na serikali iwe imeandaa stratejia nzuri khusu mtandao wa barabara na khasa zile barabara zote kuu za kimkakati.
Kwa mfano sasa hivi bado upo msongamano wa magari kuingia Mbezi ukitokea Morogoro na hiyo yaonyesha wazi kwamba barabara kuu ya Morogoro yahitaji kupanuliwa kuwa njia nane zikiwa nne kila upande.
Kwa mfano, serikali yaweza kuweka road tolls kati ya mpaka wa Kibaha na Morogoro na kati ya mpaka wa Iringa na Mbeya na vilevile katika mka mingine kama vile Singida na Dodoma au Mwanza na mikoa mingine.
Mfumo wa kodi bado sana kutengenezwa vile inavyotakiwa na serikali yajikuta ikikosa fedha hata za kujenga barabara na kuzifanyia matengenezp kwasababu ya wizi na matumizi yake mabaya.
Hivyo serikali kupitia wizara yaweza kufanya mambo yafuatayo:
1. Kuandika stratejia mpya ya barabara zote kubwa nchini, au Road Investiment Strategy.
2. Kuanzishwe mfuko maalum wa kuhudumia barabara hizo ambapo jukumu la uzimamizi wa mfuko huo litakuwa chini ya Tanroad.
3. Tanroad watengeneze Strategic Business Plan na Delivery Plan na waeleze katika plan hiyo kwa wizara na serikali namna watatumia vipi funds za ujenzi wa barabara pamoja na kupata leseni ya kuendesha shughuli zao.
4. Kuwe na mfuko wa taifa wa ujenzi wa barabara au National Roads Funds ambao utatoa fedha hizo kwenda kwenye RIS kila mwaka.
5. Kuwe na mfuko wa kistratejia kwa barabara kubwa na barabara za ndani ya mikoa Strategic Road Network and local roads.
6. Mifuko yote hiyo isimamiwe na mameneja na wawe wawajibike kwa waziri wa ujenzi.
Sasa tutapata vipi funds?
1. Kupitia Road Levy na khasa katika Road tolls.
2. Ushuru wa barabara yaani Road Tax moja kwa kila gari linotumia barabara.
3. Sehemu ya kodi za maendeleo katika kila halmashauri ambayo itakuw ani kwa ajili ya Local roads na sehemu kwenda Tanroads.
4. Driving licences applications and renewals
5. Parking fines
6. Ushuru wa mafuta
7. Ada za usajili wa aina yoyote kwa vyombo vyote vya moto, magari, malori, vibajaji na pikipiki.
8. Tozo ya mizani.
Ukiangalia hapo mwananchi anakuwa hajaongezewa aina yoyote ya tozo kwa ajili ya barabara iwe kwenye miamala au na ya kutolea.
Bila shaka mheshimiwa Kadogosa atasoma haya madini na ataambulia chachote.
those are just hot air pushed by your emotions and mayhem. In politics we don't care such useless narratives gentleman 🐒You kill with ease, lakini auae kwa upanga, atauwawa na upanga wake mwenyewe.
Mark my words.