figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sinohydro Corporation Limited na China Henan International Cooperation Group Co., Ltd(CHICO) ni Kampuni dada. Yaani zote zinamilikiwa na Serikali ya china. Zote zinafanya kazi chini ya SASAC taasisi ya Baraza la Serikali la China inayosimamia mali za serikali katika makampuni husika.
Na hizi Kampuni ndo zinaongoza kupata tenda za Tanzania na Ndizo zinaongoza kwa kukwamisha Miradi ya Barabara.
Mimi nilijua tatizo ni CHICO tu kule ilinga ambapo Ndenjembi alitema cheche kwa dagaa, Kumbe hata Iringa hali ni ileile.
TANROADS walimpa Tenda Sinohydro ya kujenga Barabara ya Iringa Bypass (Kihesa–Kilolo hadi Igumbilo). Hii barabara inaanzia upande wa Kihesa–Kilolo, kwenye barabara ya Dodoma–Iringa, na inaishia upande wa Igumbilo, karibu na eneo la stendi kuu ya mabasi ya Iringa. Ina urefu wa takribani kilomita 7.3. gharama ya shilingi bilioni 41.6.
Ajabu ni Mkandarasi Sinohydro kaitelekeza barabara la kurudi zake China. Siku ya uzinduzi alikuja na vifaa baada ya kuzinduliwa kuuweja jiwe la msingi akajenga urefu wa mita 450 za barabara na madaraja kisha akasepa zake.
Jana nimemsikia Makamu wa Rais Ndenjembi akimbembeleza arudi🤣🤣
Hii Nchi ina maajabu sana.. Kwani Mikataba wanayosaini haiwafungi wakandarasi?
Hii barabara Mwigulu aliweka jiwe la Msingi, Ndenjembi naye ataweka jiwe la Msingi hata Samia pia
Nukuu ya Kadogosa:
Nipo pale nimekaa🤣🤣🤣

Wakandarasi Wanaotusumbua watutawapa kazi tena.
Nipo pale nimekaa🤣🤣🤣