kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. projectman

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka kampuni ya QTS-QUICK TRACK SOLUTIONS LIMITED (Fumigation)

    Nafasi za kazi kotuka kampuni ya quick track solutions limited katika Nafasi zifuatazo. 1. Fumigation 2. Marketing 3. Project Leader SIFA ZA MUOMBAJI 1. Lazima awe amesomea au anao ujuzi unaohusiana na fumigation and pest control 2. Umri usiopungua miaka 21 3. mkazi wa Dar es salaam 4...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Zijue kampuni kubwa za Kichina zinazotengeneza simu maarufu Afrika

    China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu). Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la kampuni ya usafirishaji mizigo toka Dar es laam kwenda Songea

    Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika. Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni. Nawasilisha...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mtandao wa YAS imeajiri matapeli!?

    Leo nimepigiwa simu na tapeli aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka makao makuu ya kampuni ya mtandao wa YAS, baada ya salamu tapeli huyo ananitishia kuwa laini yangu ya simu itafungwa baada ya muda mfupi. Nikamjibu fungeni tu wala hamna tatizo, nitasajili laini nyingine. Alichonijibu...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kichina Yaanza Ujenzi wa Kongani ya Viwanda Rivuma. Kuzalisha megawatt 2000 za Umeme wa makaa ya mawe na kuuzia TANESCO

    My Take Cha muhimu tusije pandishiwa bei za unit https://www.instagram.com/reel/De1_LHROMJl/?srtk=bGFwcjZmc3gycW5j
  6. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Shabby online company Namba zenu za simu za Ofisi hazipatikani

    Namba zenu za simu za Ofisi mlizoweka katika tovuti yenu ya zilizopo katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Dsm, Mbeya, Morogoro, pamoja na Dodoma hazipatikani. Ukipiga unaambiwa zinatumika, iwe asubuhi, mchana, au hata usiku wa manane. Hii ni zaidi ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

    Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi? Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE HELA ZA MSHAHARA ANACHUKUA NANI???
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania SINOHYDRO wa Barabara za Iringa na CHICO wa Barabara za Mbeya ni Kampuni dada na hamsemi?

    Sinohydro Corporation Limited na China Henan International Cooperation Group Co., Ltd(CHICO) ni Kampuni dada. Yaani zote zinamilikiwa na Serikali ya china. Zote zinafanya kazi chini ya SASAC taasisi ya Baraza la Serikali la China inayosimamia mali za serikali katika makampuni husika. Na hizi...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa Kitanzania Edha Nahdi ainunua Oryx Energies

    Amsons Group, kampuni kubwa ya Kitanzania yenye uwekezaji katika sekta mbalimbali, imeingia makubaliano ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies nchini Tanzania, hatua inayoiweka kampuni hiyo katika nafasi ya kupanua ushawishi wake katika sekta ya nishati. Soma Pia: Kampuni ya Amsons Group ya...
  10. Wauzaji wa Container Tz

    JamiiForums Tanzania Wajomba zako, ndugu hawajakunyima connection, hizo lawama ni za bure, kumbuka hawana kampuni, kiwanda wala biashara yoyote iliyosimama

    Wajomba zako , ndugu n.k hawajakunyima connection hizo lawama ni za bure , kumbuka hawana kampuni ,kiwanda wala biashara iliyosimama. Mara nyingi vijana, wanalaumu sana ndugu , wajomba n.k Ila ukifatilia MTU anayelaumiwa ni MTU asiye na potential hana uwezo wa kushawishi maamuzi yoyote. Hana...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Kampuni za Habari au Waandishi wa Habari Huru kwa Ushirikiano wa Kimkakati (Strategic Partnership).

    wakuu kwema, tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa sura ya mke wa CEO wa kampuni ya Dell yazua gumzo Marekani

    CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  14. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania kusajiri kampuni yenye huduma mchanganyiko

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya SprinyTZ inakataa kutulipa ikidai hatujafanya kazi, mikataba hatujarudishiwa na NSSF hawalipi

    Habari, Kuna kampuni inaitwa SprinyTz, iliyopo Makumbusho, Derm House, ghorofa ya tano. Kampuni hiyo inajihusisha na usambazaji wa huduma za fiber. Ilitangaza nafasi za kazi, tukatuma maombi na tarehe 1 Septemba tukaanza kazi. Kampuni ilituajiri na kutuahidi kwenye mikataba kwamba ingetulipa...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania Simba yadaiwa kugomea Kampuni mpya ya Uuzaji Tiketi za Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Simba SC imegomea kampuni mpya iliyopitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya uuzaji wa tiketi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026. Simba SC imechukua hatua hiyo kwa kuandika barua rasmi kwenda Bodi ya Ligi...
  18. Ed edd n eddy

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupata leseni ya kampuni

    Habari ndugu zangu, naomba msaada kidogo. Nimesajili kampuni na sasa nataka kupata leseni ya biashara kwa jina la kampuni. Tatizo ni kwamba nikitumia portal ya TAUSI, naona option ya kuomba leseni ya biashara kwa jina langu binafsi, lakini sioni sehemu ya kuomba leseni kwa jina la kampuni...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msajili afuta Kampuni 440 katika Sekta mbalimbali nchini

    Msajili wa Kampuni nchini Kenya amefuta kampuni 440 kutoka kwenye rejista rasmi ya kampuni, hatua iliyogusa biashara katika sekta mbalimbali za uchumi. Kwa mujibu wa Gazette Notice ya Oktoba 4, 2026, kampuni hizo zilivunjwa rasmi na majina yao kuondolewa kwenye Register of Companies chini ya...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kampuni zenye mabasi ya Scania kutoka kiwanda cha kuunda mabodi Gemilang

    Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
Back
Top Bottom