Kuna Ajari Mbaya imetokea Jana huko Congo, nje kidogo ya Lubumbashi, township Ndogo inaitwa Likasi.
Kuna rafiki yangu Mcongo Man anaishi hapo Likasi, na vile Roli lilikua linaendeshwa na Dereva Mtanzania, huyu Rafiki yangu akaona anipe taarifa ili nijaribu kuwahabarisha pia.
Kuna picha ambazo...
SALUTE.pole Wana jangwani Kwa kupoteza game ya Jana leo nimekuja na swali huenda likawa ni la kipuuzi Kwa baadhi ya watu ila ningependa kujua binafsi Huwa napenda kufuatiria au kusikiliza interview za watu wenye pesa nyingi kuanzia akina mo dewji mbaka mbele huko Kwa...
Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi.
Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
Hello habari!
Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh 150,000 - 200,000.
Wahusika hao wanaokatisha tiketi mkononi kwa maana ya ‘physically’ ukijaribu...
Wakuu Mungu katupa uzima tumeuanza mwaka salama ni jambo la kumshukuru.
Naomba nijikite kwenye mada nahitaji elimu juu ya kufungua kampuni inayo jihusisha na utoaji wa huduma mbali mbali kwenye jamii.
Nipo kwenye mchakato wa kufungua kampuni hiyo sina ujuzi wala elimu kuhusu uendeshaji wa...
👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu
👉Uzi tiyari
Kampuni tanzu ya Barrick Gold Corp. inasema inapoteza mamilioni ya dola kutokana na “uvamizi haramu na hatari” unaofanywa na wakazi wa vijiji wa Tanzania, ambao mara nyingi huwa na silaha kama mikuki na mapanga.
Affidavit na ushahidi mwingine uliotolewa na mameneja wa Barrick, ambao...
Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya...
Habari wakuu, Habari za mwaka Mpya?
Nahitaji Kampuni isiyo babaifu ya uuzaji wa Magari Used wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo. Ndoto zangu tangu mwaka Jana zilikuwa za kupata Usafiri baada ya kuuza Gari langu tangu mwaka Juzi kutokana na changamoto za kimaisha, ila mwaka mzima uliopita...
Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
Kama unahitaji kusajili kampuni au jina la biashara
Kubadili jina la biashara au kampuni n.k.
Nitumie ujumbe whatssap au piga simu 0765991551.
Nikufanyie mchakato hadi kazi yako ikamilike.
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.
Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.
Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa...
Habari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda...
Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’
Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili?
@airteltanzania
Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili).
Kupandiwa mawe millions moja na nusu. Kwa maeneo haya Kiluvya (Kibaha) gharama za kiwanja 20x20 ni million...
Kampuni za kibiashara ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa mashirika ya hisani (charity organizations) kwenye utekelezaji wa miradi na program mbalimbali. Utafutaji wa fedha kutoka kwenye kampuni hizi, kitaalamu unajulikana kama “Corporate Fundraising” . Kuna njia mbili za uchangiaji unaofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.