Kupitia kwa Wakili wa Chalinze Cement Company Limited, Melchisedeck Lutema ambaye pia ni Wakili wa Chama cha Kutetea na Kusemea Walaji Tanzania amesema kuwa Chalinze ni Kampuni ambayo ilisajiliwa Mwaka 2021.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Mei 8, 2023 Jijini Dar es Salaam amesema...
Ni hawa jamaa ambao yard yao ipo pale jirani na bohari ya msd. Utawakuta mjini wamevaa sare za suruali yeusi na shati jeupe. Wengine wana tshirt nyekundu. Na usafiri wao mkubwa ni bajaji. Kiukweli watu hawa ni janga la jiji. Kwanza wana hasira hao! Wengi ni kanda maalum.
Wakishashika gari yako...
Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao hiyo.
Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) pia imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza...
Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au?
Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 80 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni..
My Take
Kama Daraja hili litajengwa linaweza kutumia zaidi ya gharama za Kujenga SGR.
Swali Je Tunalihitaji Kwa Sasa? Kama Kuna ulazima wa Hilo...
1: QUALIFICATIONS ZA KUWA MKURUGENZI WA KAMPUNI (DIRECTOR):
Sifa (qualifications) za kuwa director wa kampuni zinapatikana kwenye Sheria ya Makampuni ya Tanzania (the Companies Act), ya mwaka 2002. Ukisoma kifungu cha 194.
(i): Kwanza ni kigezo cha umri: Je, director anatakiwa kuwa na umri...
Wakuu, Amani iwe nanyi nyote!
Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku.
Katika pitapita zangu mtandaoni miongoni mwa makampuni ya uuzaji wa magari niliyokutana nayo ni kampuni ya GloAuc. Kwa...
Wazoefu naomba msaada,nataka kununua gari kwa jamaa,lakini yeye aliuziwa na kampuni,ila hakubadili jina,linasoma la kampuni,,documents za mauziano anazo,naomba kujua taratibu za kufuata wakuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za madini kutoka nchini Australia.
Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kuanzia...
Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center
Mara baada ya majaribio matatu kushindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
HISA ZA KAMPUNI BINAFSI
Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma.
Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
brela
company
fahamu
hisa
kampunikampuni binafsi
kisheria
kodi
kodi ya biashara
kuzingatia
lending
mambo
mambo ya kuzingatia
policy
private
sera
sera ya ukopeshaji
tujifunze
usajili brela
usajili wa biashara
usajili wa kampuni
Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua...
Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi ya uso Leroy Sane.
Mane hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Hoffenheim katika...
Kampuni ya Indiana Resources ya Australia imetishia kuikamata ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Uwekezaji (ICSID) Nchini Marekani
Kampuni hiyo imeishtak Tanzania baada ya kutaifisha leseni ya uchimbaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.