kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  2. Sildenafil Citrate

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  3. BARD AI

    Machi 2022, Kampuni tanzu ya P&O ya Uingereza inayomilikiwa na DP World ilifukuza wafanyakazi zaidi ya 800 wa Bandari

    Mwendeshaji huyo mkuu wa Feri za nchini Uingereza, aliwafuta kazi wafanyakazi 800 katika Meli zote baada ya kusimamisha safari zake zote. Vyama vya wafanyakazi viliitosha mgomo na maandamano na kuitaka serikali kusitisha kile ilichokiita "usaliti wa kashfa", huku P&O ikipanga kutumia wafanyikazi...
  4. Mr Why

    Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP

    Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP yanayofanya safari zake Dar- Mwanza-Dar, kuanzia tarehe 9 Juni 2023. Hizi basi ni za kisasa na yenye viwango vya juu ikiwemo siti za luxury, air condition, tv, choo cha abiria, wahudumu wa kike, vinywaji na vitafunio. Route...
  5. Offshore Seamen

    Serikali ipambane Gharama za Bima ya kuisafirisha mizigo zilipwe kwa kampuni za Tanzania kuongeza pesa za Kigeni

    Katika biashara ya kuagiza na kusafirisha mizigo nje ya nchi kuna gharama za bima ya mzigo (Insurance). Kwenye terms za kimataifa za usafirishaji kipengele cha CIF (Cost Insurance and Freight). Mnunuzi au muuzaji hukubali kulipa bima ili mzigo usafiri salama na kukingwa na majanga yoyote...
  6. U

    Mliowahi kukutana na tatizo hili kuhusu kampuni ya Zola naombeni ushauri

    Kampuni ya nishati ya jua ya Zola walinifungia mtambo wao, lakini ajabu tofauti na makubaliano mtambo huu uligoma kuniwashia TV, na pia umeshindwa hadi kunichajia simu! Nimejaribu kuwasiliana na Zola wamekuwa wananiahidi uongo. Mara tutashughulikia lakini hadi leo miezi zaidi ya kumi imepita...
  7. M

    Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
  8. benzemah

    Bunge lakaribisha maoni, kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano mkataba kati ya Tanzania na kampuni ya Saudia kuendesha bandari Dar es Salaam

    Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
  9. Its Jensen

    Kwanini biashara yako haikui? Jifunze Jinsi kampuni hii ilivyokuza mtaji kufikia mabilioni ya pesa

    Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto.... Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara, kuna msemo unasema "kufungua biashara na kuuza ni vitu viwili tofauti...
  10. Jamii Opportunities

    Kampuni ya Kilimo ya Agro - Meru imetangaza nafasi za kazi

    M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specialized in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and distribution of agro seeds; importation and distribution of agrochemicals and provision of technical advisory...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Elibariki Kingu Ameishauri Serikali Kuiongezea Mkataba wa Kampuni ya Kuzalisha Umeme ya SONGAS

    MBUNGE ELIBARIKI KINGU AMEISHAURI SERIKALI KUONGEZA MKATABA WA SONGAS "Na kule wanakopita watu wa CHADEMA wanapiga propaganda kwamba Rais Samia Suluhu Hassan anaweka mabango, nataka nikuambie ukiona mtu anapiga kelele jua umembana vizuri, Mama amewashika kwelikweli kupitia Wizara yako January...
  12. pantheraleo

    Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampeni ya kuwazawadi wateja wao wanaotumia huduma za Uber

    Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
  13. Analogia Malenga

    Bodi ya Rufaa ya Mapato ya Kodi yatangaza kutoza Kodi ya kushikilia Mapato kwa kampuni za ndani

    Bodi ya Rufaa ya Mapato ya Kodi (Bodi), imefanya uamuzi muhimu kuhusu kutoza kodi kwenye mapato yaliyoshikiliwa kwa kampuni za ndani. Katika kesi ya rufaa kati ya Gateway Gaming Tanzania na Kamishna Mkuu (TRA), Bodi imetangaza kuwa kodi ya kushikilia na riba inapaswa kulipwa kwa mapato...
  14. L

    Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
  15. BARD AI

    Elon Musk apata kibali cha kampuni ya Neuralink kuanza kupandikiza Ubongo Bandia kwa Binadamu

    Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa Wanyama. Kwa mujibu wa taarifa za #Neuralink, Watu watakaopandikizwa kifaa hicho au Wagonjwa wataweza...
  16. TPP

    Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

    The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology. Its products carry “serious network security risks” that pose hazards to China’s information infrastructure and affect national security, the...
  17. Samwel Ngulinzira

    Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Habari wakuu, poleni na kazi. Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo. Vigezo ni 1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo. Pia...
  18. R

    Bandari ya Zanzibar yabinafsishwa kwa kampuni ya kigeni, wazalendo wahoji

    Chama cha ACT Wazalendo kimehoji juu ya mchakato uliotumika kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuipatia Kampuni kuendesha shughuli za bandari ya Malindi Zanzibar Katibu wa habari na uenezi ACT Wazalendo Salum Bimani, amehoji hatua hiyo wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho...
  19. Y

    Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

    Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA, kwakuwa kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali, Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
  20. B

    TIRA yaikabidhi benki ya CRDB leseni ya kuanzisha kampuni tanzu ya bima CRDB Insurance Company Ltd

    Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini (TIRA), Dkt. Baghayo Saqware (wapili kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela leseni ya kuanzisha kampuni tanzu ya huduma za bima CRDB Insurance Company Ltd katika hafla iliyofanyika leo katika hoteli ya Gran...
Back
Top Bottom