zama za usiombe kukutwa na bwana pepsi tumezimiss..siku hizi hata bia hazikai mwezi kiwandani means watu tunakunywa sana sasa kweli mnashindwa kubuni namna ya kurudisha faida kwa jamii kwa kutuweke ka mchezo cha kusaka bonus..muhindi anatukula kwenye betting ilipaswa kidogo mtufariji kwa...
Kwa nini Wachina wakitoa mikopo ya miondombinu kwa nchi za Afrika ni lazima kampuni zao zisuhusike katika ujenzi?
Kila kwenye miradi mikubwa walipofadhili Wachina unakuta kampuni ya China ndio contractor mkuu, Sasa hii huwa inakuwa na maana gani ukizingatia pesa zenyewe ni za mkopo lazima...
Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika,
Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda.
Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki...
Wakuu habari za muda huu ,hope mko poa walio wagonjwa ,wenye huzuni Mwenyezi Mungu awasaidie
Hivi karibuni nilipata kazi katika kampuni inayojishughulisha na mikopo mkoa (X) as a guest kwenye hii kazi na mshahara ni 200k per month n+ plus posho kwa mwajiriwa miezi 3 ya mwanzo
Lakini...
Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba
Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
Noble Helium imetangaza kuchagua maeneo matatu ya kwanza kwa uchimbaji katika Mradi wa North Rukwa ikiwa ni hatua muhimu katika kuchunguza uwepo wa gesi kwenye maeneo yenye kina kifupi.
Maeneo haya yaliyochaguliwa ni sehemu ya maeneo 10 ambayo yanaonekana kuwa na potential ya uwepo wa gesi...
Ni vita na mapinduzi zaidi kutoka China yanaendelea katika sekta ya magari.
Deepal wanekuja na hybrid na EV tatu ambazo zimeletwa mahususi kupambana na SUV, offroad trucks na Executive Sedans.
Deepal G318
Hii ni REEV off-road SUV inayokuja na four au two wheel drive, ikiwa na engine ya 1.5L...
Wakuu,
Mimi ni mtu ninayependa sana technology na nimekuw nikifuatilia sana masuala ya technology. Kwa upande wangu sijasoma course yoyote officially ambayo iko related na masuala ya IT ila mengi nimejifunza mwenyewe kuanzia programming japo siwezi tengeneza kitu chochote cha maana ila najua...
Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria.
Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan.
Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo
1. Ili...
USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA)
Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi.
Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni.
Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika.
Nipigie 0765991551
Wakuu nimeliangalia vizur suala la ubunifu kama sehemu ya kufanikiwa kimaisha na kuziona fursa. Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali mitaani nina wazo la kufungua kampuni itakayokuwa inajihusisha na mambo yafuatayo
1. Kumtongoza mkeo mara ya pili kuona kama atakubali watu wengine au lah ( @1...
Naomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na kupelekwa kufanya kazi kwenye kampuni X).
Nimekaa kituo cha police kwa siku 8 naambiwa nimefanya kosa...
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani.
Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH.
Kwa kuanza, kampuni hiyo itafanya utafiti wa sampuli za miamba na geographia kabla ya kuanza uchimbaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.