kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Kampuni ya mikopo ya OYA itakuwa na mwisho mbaya sana kama ilivyokuwa kampuni ya udalali ya MAJEMBE

    Utu ni jambo muhimu sana kwenye huu uumbaji wa Mwenyezi Mungu Kampuni ya mikopo midogomidogo ya OYA si kampuni rafiki na yenye UTU kwa wakopaji wake. Pamoja na kuwa na vibali halali vya kuendesha hiyo biashara lakini matendo ya wafanyakazi wake kwa wakopaji wanaoshindwa kurejesha kwa wakati...
  2. D

    Kampuni za mikopo mtaani zina mapungufu ya kibinadam sawa lakini pia na wateja wao (wakopaji) wengi wahuni tutazame kotekote

    Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara! Nitoe mfano hai! Jeshi la polisi lina...
  3. Mtoa Taarifa

    Je Wajua? kampuni za Adani Group zimewahi kuripotiwa kufanya Ulaghai na kushushwa thamani ya Utajiri wake kwa Dola Trilioni 27.9

    Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
  4. Dr. Zaganza

    Brand tano (5) zilopelekea bidhaa za kampuni nyingine kupewa jina hilo hilo tu, ya kwanza itakushtua, ya tano ya kitanzania

    1. BUKTA Bukta ni kaputura iliyokuwa inatengenezwa na kampuni ya bukta. Matokeo yake hata kaputura za kampuni nyingine nazo zikawa zinaitwa bukta.Watu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni ya Bukta(bukta ni jina la kampuni iko Uingereza inatengeneza nguo za michezo). 2. KIWI Bidhaa...
  5. The Palm Beach

    Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  6. Eli Cohen

    Kuna mtu katania eti kampuni ya madawa ya Azuma wametokea kupapenda Bongo. Biashara imekuwa nzuri

    Apart from utani wanangu kuweni makini, vaeni mipira.
  7. Troubleshooter

    Natafuta business partner kampuni ya ICT services

    Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa...
  8. nipo online

    Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  9. milele amina

    Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

    Millicom International Cellular has finalized the sale of its Tanzanian division, completing its multi-year divestment strategy from Africa to focus exclusively on Latin American markets. The sale of Tigo Tanzania to the pan-African group Axian was first announced in April of last year...
  10. milele amina

    Kampuni ya Tigo, kuhusu issue ya Lissu mnayo KESI ya kujibu: Someni hapa

    Tigo someni mifano mingi ya kesi zinazohusisha uhalifu, teknolojia, na uwajibikaji wa kampuni ambazo zilishughulikiwa kwa mafanikio. Hapa kuna baadhi ya mifano maarufu: 1. Kesi ya "Blackberry: Katika miaka ya 2010, kampuni ya Blackberry ilihusishwa na kesi kadhaa za uhalifu ambapo taarifa za...
  11. Kidagaa kimemwozea

    Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza...
  12. ninjajr

    Ushauri wa kufungua kampuni ya transportation and logistics

    Salaam JF. Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti. Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics. Nakarabisha...
  13. U

    Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  14. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  15. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  16. Yoda

    Elon Musk atangaza kampuni yake ya Neuralink kuleta kifaa tiba cha kuwawezesha vipofu kuona!

    Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu kuona. Anasema kwa kuanzia uoni kupitia kifaa hicho utakuwa hafifu lakini utazidi kuboreka na kuwa...
  17. GENTAMYCINE

    Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
  18. Mr Why

    LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani. Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
  19. Roving Journalist

    Serikali imepata Tsh. Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 za Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi

    Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/22. Hayo yamebainishwa na Waziri wa wa Madini Anthony...
  20. V Chief

    Ni vitu gani vya kuzingatia unapoanzisha kampuni ya Usanifu Majengo?

    Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)? Napitia comments kwa maoni, ushauri na majibu ya swali nililouliza, Ahsanteni.
Back
Top Bottom