Habari,
Kwa yeyote anaeifahamu kampuni ya kuchukua tenda na kuingia ubia na baadhi ya makampuni hapa nchini kwa lengo la kuwa recruit na kuwapatia hayo makampuni wafanyakazi yakiwemo Tigo, Vodacom, TANESCO na Dawasa yaani EROLINK wamekuwa wababaishaji kwenye kuwalipa vijana ambao wamekuwa...
Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo.
Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi kikubwa kwa sababu makampuni ya kifedha ya China yanazuiliwa kufanya biashara na taifa hilo...
Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya.
Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa.
Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania.
Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti...
Nipo kwenye tasnia ya waste material nina mkataba wa miaka 4 mikoa tofauti nakutana na malighafi mbalimbali ikiwemo vyuma chakavu, Paper waste, plastic waste n.k nimeanza hatua ya kwanza kufatilia uanzishwaji wa small recycling industry pamoja na production kwa baadhi ya bidhaa,.Nahitaji mdau...
×××××××
Imethibitishwa
Tarehe ××\××\××××
Saa 30:95 umetoa kiasi cha shs 5,000 kutoka kwa ×××××× Pepo mchafu toka,
Ada Tshs 950.00 + TOZO ya serekali Tshs 54.00.
Lengo la uzi wangu ni kwanini serekali inachukuwa kiwango kidogo namna hii ya tozo? Aidha kwanini kampuni za simu zinatoza kiasi...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa 'Kukomesha changamoto ya hedhi salama, unaonyesha dhamira ya kampuni hiyo katika kuendelea kupambana na...
Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye...
Habari ya asbuhi wakuu, nimerudi tena tuweze kujadili na kukumbushana machache katika utafutaji wetu huku kwenye 'corporates world'.
Kampuni ya udalali na ukusanyaji madeni (auctioneer and debt collection) ni moja kati ya machimbo yaliyopo mjini yanayofanya vizuri japo hayavumi na nimegundua ni...
Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
Watoa taarifa hawa ni kutoka kampuni ya Ortello – wakati mwingine...
Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
Wakuu habari za majukumu,
Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili.
Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza kufanya kazi,lakini kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu nimetangaza kuiuza, Hivyo kama kuna...
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha
Hatarini za majukumu wana JAMIIFORUMS nimeandika uzi huu kuulizia au kujua bati imara na nikampunigani ya kuzalisha bati hapa nchini ina toa bati imara na inayodumu kwa muda mrefu bila kupauka.
Kumekuwepo utitiri wa viwanda vingi, hofu ni kwamba uzalishaji wake katika bidhaa zao ni wa mashaka...
Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024.
Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya viongozi wa Kampuni pamoja wa Wafanyakazi wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ceramics Co. Ltd, Wayne Zhong...
Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g.
Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo.
Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
Kuna uzi humu unaongelea makampuni ambayo hayajari wafanyakazi wake., wengine wananyanyasa kabisa wafanykazi.
Upande mwingine kuna makampuni au Taasisi ambazo zinajari wafanyakazi au waajiriwa, nao wanastahiri kutambuliwa na kupewa pongezi hapa JF.
Mimi naanza na Boss wa Tronic, kampuni ya...
Ni Jumanne saa 4 asubuhi unahitaji kusafiri siku inayofuata ya Jumatano August 14,2024, ķutoka Mwanza kwenda Kigoma! Unaingia katika mtandao kutafuta usafiri.
Jina la kampuni maarufu inayofanya safari zake njia hiyo, linakuja Adventure. Unaamua kufanya Adventure kwa kutumia mabasi yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.