Direct to point
Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula ruzukunza seikali miongo na miongo bila ya kuzaa matunda mfano posta, ttcl, tanesco, tazara, air...
Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora
1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi?
2. Watu wamepunguza kufanya ngono?
3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV?
4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu?
5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema?
Kwa uzoefu wangu...
Hii biashara nimegundua inaendana na mm!!
Nipeni tips naanzia wap
Taarifa kama
Faida na hasara
Kodi yake serikalini
Changamoto
Process za usajili nk
yaan A to Z
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi
Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel...
Usishangae wala usitahamaki maana kwa ujinga walio nao hapo sijawatukana kabisa. Nimewaita washenzi hapo ili kupunguza ukali wa maneno tu lakini nilitamani nitumie maneno zaidi ya hilo kabisa
Hawa watu king'amuzi kimezingua nikawapigia kuwauliza nijue tatizo ni nini. Sasa kwa maswali...
Kampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD.
Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye itakua kwenye magari "karibia yote" ya BYD kuanzia expensive modela hadi cheapest models kama...
Yaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa...
Kuna kampuni zingine unaweza kudhani zina laana.
Unakuta hakuna waajiriwa waliopiga hatua, wapo wenye hali zinazozidi kuwa mbaya, wenye nafuu wapo pale pale walipoanzia.
Yani unakuta kila alieajiriwa kawa kama mtumwa, shida hazikauki, nuksi kama zote, kufupista story sahau kuhusu maendeleo...
Morogoro, 6 Februari 2025. Kampuni ya sukari Kilombero, leo imeandaa Mkutano wa Wadau ambao umewakutanisha na viongozi wapya wa serikali za mitaa pamoja na wadau wengine kutoka bonde la kilombero muhimu kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kujadili mikakati ya kimaendeleo.
Mkutano huu...
Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake.
Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi na wengine wakisema ni unyanyasaji.
Baada ya kuzuka mijadala mingi kampuni lyft imeamua kuongeza...
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional).
NB: uswahili umezidi
Naomba mwenye uelewa juu ya ukweli kuhusu hii kampuni ya F.I.C inahusika na ubashiri wa correct score ila ikitokea mkeka wako ukichanika wanakurudishia pesa zako zote...
JE unahitaji gari used au mpya toka katika kampuni kama vile Toyota Mercedes Benz Mitsubishi BMW VOLKSWAGEN NISSAN nk
Iwe ni gari kubwa au dogo pickup minbus nk
Beforward itakusaidia kupata gari Toka nje ya nchi Kwa Bei nafuu
0686153806 Whatsapp
Wakuu habari ya jumapili
Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani
Hali mbaya kitaa
Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai
Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda
Mazingira...
Igweeee wananzengo,
Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao.
Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa
Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii
Je, huu utakuwa muendelezo wa...
Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na kuweka hatarini watu kupatwa na magonjwa ya aina hiyo bila kuchukua tahadhari.
Inasikitisha kama sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.