HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?
Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM
NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI
WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE HELA ZA MSHAHARA ANACHUKUA NANI???
 
Serikali itoleee tamko hii kitu haraka, haijakaa sawa kama ni kweli. Je, nani yupo nyuma ya pazia?
 
Kwa sasa ukienda kwa mkuu wa gereza mabalia unaomba wafugwa kukufanyia kazi na unatoa maelezo ya ain aina ya kazi inayotakiwa kufanywa. Mnakubaliana malipo na kamati ndogo ya fedha ya geraza alafu unclip unalipa na kazi yako inafanywa.

Nimeona hivyo hata kwa wakulima wakubwa huko Manyara.
 
Yes, wale ni cheap labor. Wanafanya kazi hela inalipwa magereza. Nimewaona wakijenga, kulima, na kukata miti kwenye taasisi mbali mbali especially zilizopo karibu na gereza.
 
Back
Top Bottom