Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia
Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa watoto wao ambazo zitawasaidia mbeleni
Sasa muonekano wake ni wa tofauti kidogo na umeonekana kuwashtua Wamarekani wengi mitandaoni watu wakimuita "Lizard human" wengine wakisema ni Robot, wengine wanamsema kuwa ni alien na wengine wanasema anatisha
Tangu video yao ya Whitehouse October 7th kumekuwa na constant bullying mitandaoni juu ya muonekano wake
Wamarekani wengi wameandaa video wakimock appearance yake. Kama hizi video ni za wamarekani wakimock mwonekano wa Bi Susan Dell
Kikawaida kwenye mitandao ya kijamii Marekani ukimock appearance ya mtu watu wanakuwa wakali sana comment section. Lakini hii ni tofauti kidogo, watu wengi wanaonekana kusupport na kucheka mitandaoni. Kumbuka Susan na mume wake ni Trump supporters, na Marekani kuna very strong tension kati ya watu wanamsupport Trump na wasiomsupport Trump
Na kwa sababu kuna Wamarekani wengi wako against Trump kwa hiyo hawana sympathy kwa supporters wa Trump kama Susan na mume wake