Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.
Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto.
Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
Sinohydro Corporation Limited na China Henan International Cooperation Group Co., Ltd(CHICO) ni Kampuni dada. Yaani zote zinamilikiwa na Serikali ya china. Zote zinafanya kazi chini ya SASAC taasisi ya Baraza la Serikali la China inayosimamia mali za serikali katika makampuni husika.
Na hizi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa utafungua fursa za kiuchumi, kuvutia uwekezaji na kurahisisha usafiri kwa wananchi, wafanyabiashara na watalii.
Ndejembi ameyasema hayo mkoani Iringa alipokagua maendeleo ya awamu...
Mimi ni kibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nakusanya ushuru, kumekuwa na utaratibu wa kucheleweshewa mshahara wetu ambao kikawaida ilitakiwa tuwe tunalipwa tarehe 01 ya kila mwezi ila tunacheleweshewa sana hadi muda mwingine tunalipwa tarehe 22.
Hali hiyo inaathiri sana familia zetu...
Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri.
Breki ikifeli basi inaenda moja kwa moja kwenye nyumba za watu, nashauri wamalizie kwa kuweka zege...
Kero ya wizi wa mita za maji Iringa mjini.
Siku za hivi karibuni kumejitokeza na wimbi la wizi wa mita za maji. Wizi huo umekithiri kiasi kwamba ukibiwa mita leo, na kesho ukienda ku report utapewa control number ulipie shilingi laki moja kama malipo ya kufungiwa mita mpya halafu ukifungiwa...
Anonymous
Thread
ingilia kati
iringa
kati
maji
mita
waziri
waziri wa maji
wizi
Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504
Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi
Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.
Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.
Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo...
Habari wakuu,
"Ukitaka mali utaipata shambani"
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.
Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati.
Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
KATIBU wa CCM Mkoa wa Iringa, Said Goha, amefutwa kazi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kwa tuhuma za ulevi uliokithiri unaodaiwa kuchafua taswira ya chama hicho tawala.
Chacha ametoa uamuzi huo wakati akizungumza katika mkutano maalumu wa CCM...
Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa.
Soma: Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu...
Anonymous
Thread
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
hapo
iringa
kuhusu
kujikimu
nyuma
thread
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Igeleke iliyopo katika Manispaa ya Iringa wanakabiliwa na mazingira magumu ya kujifunzia kutokana na uhaba mkubwa wa madawati unaowalazimisha baadhi yao kukaa chini wakati wa masomo.
Kipoti hicho kimebainika wakati wa sherehe za mahafali ya darasa la saba...
Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.
Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.
Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.
Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
Shule ya...
Tangu tuliporipoti kazini miezi sita iliyopita, sisi watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu. Tunapofuatilia madai yetu, tunaelezwa kuwa fedha hizo hutolewa na TAMISEMI na bado hazijaingizwa hadi sasa.
Aidha, tuliitwa kusaini fomu za...
Anonymous
Thread
ajira mpya
halmashauri
iringa
kada ya afya
mufindi
Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha
UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano.
Nimeona CHADEMA wanaendelea kupaza sauti ili Tundu Lissu aachiwe kabla ya maridhiano. Nadhani wako sahihi pia.
Sasa kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.