Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano.
Nimeona CHADEMA wanaendelea kupaza sauti ili Tundu Lissu aachiwe kabla ya maridhiano. Nadhani wako sahihi pia.
Sasa kwanini polisi Iringa wananibugudhi? Je, wao hawataki maridhiano? Kwani ujumbe wangu wa amani unashida gani?
Tafadhali sana waambie waendelee na majukumu yao.
Ratiba yetu ni ile ile:
Tukio lakwanza
1. Polepole na waliopotea wote kurejeshwa wakiwa hai na salama ('NI LAZIMA SIO HIARI')
2. Maridhiano kufanyika
3. Vyama kupitisha majina ya wagombea wao kwaajili ya uchaguzi mkuu. Kwetu CCM tukio hili litaambatana na waliovunja katiba ya CCM kwa kupitisha mgombea kinyume na utaratibu kufukuzwa uanachama wao na mgombea wao.
4. Uchaguzi mkuu.
5. Kukamilisha mchakato wa katiba mpya kwa kutumia rasimu ya Warioba.