polisi iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan Waambie Polisi Iringa Waache Kunibugudhi

    Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano. Nimeona CHADEMA wanaendelea kupaza sauti ili Tundu Lissu aachiwe kabla ya maridhiano. Nadhani wako sahihi pia. Sasa kwanini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa wakamata vifaranga vikiwa vinasafirishwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limekamata vifaranga vya kuku vilivyokuwa vikisafirishwa kwenye mabasi mawili ya abiria yakitokea mpakani mwa nchi jirani ya Malawi kuelekea Visiwani Zanzibar, baada ya kubaini kasoro kwenye nyaraka za usafirishaji. Akizungumza na vyombo vya habari siku ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO NEMC na Polisi Iringa Mjini Mmelala? Bodaboda zinapiga kelele sana

    Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala?
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wakusanya madereva bajaji Iringa kuwakumbusha kuhusu "amani"

    Wakuu Mahubiri ya amani yanaendelea nchini. Nimeona huko Iringa madereva bajaji wamekusanywa na Polisi na kuanza kupewa mawaidha kuhusu umuhimu wa amani Binafsi sijawahi kuona such stress kwenye amani nchini kama kipindi hiki, kwani kuna nini? =========================================...
Back
Top Bottom