KERO NEMC na Polisi Iringa Mjini Mmelala? Bodaboda zinapiga kelele sana

KERO NEMC na Polisi Iringa Mjini Mmelala? Bodaboda zinapiga kelele sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION.

Vyombo husika vimelala?
 
Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION.

Vyombo husika vimelala?
Unaijua vii eitee mkuu???

Hata ukipiga vipi kelele kwenye bodaboda yako, alie ndani ya vii eitee anasikia sauti kwa mbaliii.

Watu ambao wangetatua tatizo hili wao wanatumia vii eitee, kelele za boda haziwahusu.
 
Back
Top Bottom