GE2025 Polisi wakusanya madereva bajaji Iringa kuwakumbusha kuhusu "amani"

GE2025 Polisi wakusanya madereva bajaji Iringa kuwakumbusha kuhusu "amani"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Mahubiri ya amani yanaendelea nchini. Nimeona huko Iringa madereva bajaji wamekusanywa na Polisi na kuanza kupewa mawaidha kuhusu umuhimu wa amani

Binafsi sijawahi kuona such stress kwenye amani nchini kama kipindi hiki, kwani kuna nini?

=========================================

Madereva wa bajaji Mkoani Iringa wametakiwa kuwa mabalozi wa kuhubiri amani na utulivu, hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kutambua kuwa kazi hiyo haina tofauti na kazi nyingine hivyo wanapaswa kuithamini.

Wito huo umetolewa Oktoba 21, 2025 na Kamanda wa Polisi mkoani humo (SACP) Allan Bukumbi alipokuwa akizungumza na madereva hao katika mkutano uliofanyika Kituo Kikuu cha Polisi Iringa.

 
Mabodaboda ni wahuni wa vijiweni, muda mwingi wapo pamoja vijiweni mwao, hawana elimu na wana njaa kali. Uhuni wao ni tishio kwa nchi, ni rahisi kufanya vitendo vya kihuni kwa haraka muda mfupi wakaleta hasara kubwa. Habari za uwepo wa maandamano siku ya uchaguzi polisi wameona waanze na wahuni hao kuwahubiria amani wasije wakatekwa na maandamano kirahisi wakalipua nchi. Lile kundi limekaa kihasara hasara hawana cha kupoteza inabidi lichungwe sana
 
Back
Top Bottom