Iringa Wanazalisha mbao, lakini Wanafunzi wa Iringa wanakaa Chini. Samia Suluhu hajali

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.

Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.

Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.

Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?

Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.

Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.

Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.

Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.
 
View attachment 3677343

✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz

#nurufm
#nurudigital
ama kwa hakika,
penye miti mingi hakuna wajenzi.

sasa hapo Dr.Samia Suluhu Hassan awafanyie nini nyinyi watu wa Iringa na miti mnayo nyinyi wenyewe hadi kwenye milango ya nyumba zenu, gentleman?🤣

kulikoni mnaiga tabia ya panzi kufa njaa akiwa kashikilia chakula?🐒
 
Mkuu

Hii nadhani si kuilamu tu awamu hii tulaumu zote yeye watangulizi wake walishindwa yeye atakuwaje malaika wa kutatua matatizo ya taifa hili.
 
Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.

Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.

Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.

Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
View attachment 3677343
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.

Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.

Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.

Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.

✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz

#nurufm
#nurudigital
Africa ina mito, misitu,na kila madini lakini inaagiza furniture china.Usishangae hilo
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 10

Mkuu hizi lawamaa Hazina msingi wowote na ni kumuona Mh Rais

Kama mbao zinapatikana kirahisi kwa bei nafuu

Twende sasa
1. Karibu Kata hayupo?
2. Mwenyekiti wa kijiji hayupo
3. Wakurugenzi?
4. DC?
6. RC?
7. Vipi wadau wengine na wawekezaji ikiwemo hao wafanya biashara wa Miti na Mbao?

Hawa woote hawaoni umuhimu mpaka Rais?
 
Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.

Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.

Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.

Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
View attachment 3677343
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.

Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.

Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.

Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.

✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz

#nurufm
#nurudigital
Yaani maana yako ni kwamba Samia alikuta watoto wanakalia madawati kwa kazi nzuri iliyofanywa na Magufuli yeye akayaharibu!
 
Sijui huwa kinatokea nini, mfano mwanza samaki wakubwa hawapo mimi nikajua sikuhizi wanavuliwa wakiwa bado! Nashangaa mahotelini, fillet factories na mkoa kama dar wana sangara wakubwa tena fresh wanapatikana kwa urahisi🤔
 
Mbao nyingi za Iringa na Njombe hupelekwa DSM na Mwanza.Hapo ndipo Mwanza ikapata timu ya mpira wa miguu ikaitwa Mbao halafu wenye mbao zao watoto wanakaa chini.
 
Yy ni mzenji Hana cha kupoteza. Wala Hana tome n watanganyika kiongozi. Ingekua zenji sw kwani si ndio chanzo cha kumtema mtanganyika Dk.nchimbi kuitetea tanganyika kwenye mungano.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hii nadhani si kuilamu tu awamu hii
Samia huna ubavu wa kumtetea. Haya nimeacha kumlaumu kwa hili. Mtetee na kuhusu mauaji yalotokea 29.10.2025. Au mtetee kuhusu kifo cha Magufuli. Au mtetee kuteua ukoo wake. Utamtetea lipi kati yaa hayo?
 
Yaani maana yako ni kwamba Samia alikuta watoto wanakalia madawati
Hiyo maana umeitoa wapi? Mimi maana ni yangu ni hilo lizanzibari halitufai. Kauza bandari kwa DP, hela alipeleka oman halafu kakupa vocha uje kutetea ujinga wake
 
Back
Top Bottom