Iringa Wanazalisha mbao, lakini Wanafunzi wa Iringa wanakaa Chini. Samia Suluhu hajali

Iringa Wanazalisha mbao, lakini Wanafunzi wa Iringa wanakaa Chini. Samia Suluhu hajali

soko lipo huku walaji wapo huku, imefikia wakati mtu mwenye ng'ombe 40 , mbuzi 20 heka zaidi ya 20 anataka kumpiga mzinga mwenzake ambaye yupo aganga njaa kwa kua anatoka Dar
Dahh mbona soko liko kote sema tu watu wameiona fursa! Mwanza mboga yetu kuu ni hao samaki na dagaa..
 
Dahh mbona soko liko kote sema tu watu wameiona fursa! Mwanza mboga yetu kuu ni hao samaki na dagaa..
basi hili mnalimudu sana, au lah demand imekua kubwa sehemu zingine, niliona mtandaoni jamaa analalamika kwamba watu wanadhani ukika u mwanza unakula samaki, umesaidia kunielewesha aise
 
basi hili mnalimudu sana, au lah demand imekua kubwa sehemu zingine, niliona mtandaoni jamaa analalamika kwamba watu wanadhani ukika u mwanza unakula samaki, umesaidia kunielewesha aise
Samaki ni shida kila mwezi ziwa linafungwa siku 10
 
Samaki ni shida kila mwezi ziwa linafungwa siku 10
wizara ya mifugo na uvuvi walitoa mikopo mwezi uliopita kwa vijana kufuga kwenye vizimba huko ziwani, inaweza ikawasaidia kuongeza uzalishaji siku zijazo
 
ama kwa hakika,
penye miti mingi hakuna wajenzi.

sasa hapo Dr.Samia Suluhu Hassan awafanyie nini nyinyi watu wa Iringa na miti mnayo nyinyi wenyewe hadi kwenye milango ya nyumba zenu, gentleman?🤣

kulikoni mnaiga tabia ya panzi kufa njaa akiwa kashikilia chakula?🐒
Wazazi wenyewe wenye hiyo miti hawawajali watoto wao. Eti wanamsubiri Rais! Hawa watu wa ajabu sana!
 
sasa hapo ni shida ya Samia au wazazi wa hao wanaokaa chini?

vingine tupunguze kulalamika.. mfumo ukishajitoa kuwafanyia kazi inabidi mjiongeze...
 
Hivi tuseme ukweli,
Mwenyekiti wa mtaa ambayo hy shule ipo ameshindwa kuitisha mkutano ku mobilize wazazi, wafanyabiashara, taasisi na mashirika katika eneo hilo wakachanga pesa kupata madawati 100+kwa ajili ya watoto wetu?
Ingewezekana.Wanasubiri hela za "mama" zitokanazo na tozo zijenge madarasa na kuchongesha madawati.
 
Back
Top Bottom