ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,990
- 13,940
Na Huwa vinauzwa bei kweli!!Kumbe zao la mninga ni la iringa? Aisee hii mbao ina hatari halafu nzitoo!! Kitanda chake au kabati huvichoki..🙌🏾
Na Huwa vinauzwa bei kweli!!Kumbe zao la mninga ni la iringa? Aisee hii mbao ina hatari halafu nzitoo!! Kitanda chake au kabati huvichoki..🙌🏾
Hapo sawa!Mininga siyo Iringa.Tabora na Singida ndiyo huzalishwa.Iringa ni "saipras"/mbao nyeupe.
Mh. Rais hawezi kufanya vitu ninor kama hvy, lawama ziewaendee wasaidizi wake mfano Mkuu wa Mkoa, DC, DED, Mbunge etc.....hapo kungekuwa na watu committed na creative hiyo ni issue ndogo sana kushughulikiwa na Rais.Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.
Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.
Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.
Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
View attachment 3677343
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.
Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.
Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.
Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.
✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz
#nurufm
#nurudigital
Sana, chini ya laki 4 hukipati!Na Huwa vinauzwa bei kweli!!
Kuna Rc, Dc, Wakurugenzi, wabunge wote hawa wapo wameshindwa kutengeneza mikakati ya kuondoa changamoto hizo..ama kwa hakika,
penye miti mingi hakuna wajenzi.
sasa hapo Dr.Samia Suluhu Hassan awafanyie nini nyinyi watu wa Iringa na miti mnayo nyinyi wenyewe hadi kwenye milango ya nyumba zenu, gentleman?🤣
kulikoni mnaiga tabia ya panzi kufa njaa akiwa kashikilia chakula?🐒
Miti pori hiyo hupatikana kule Tabora,Mbeya,Tuhuma,Mtwara na sehemu baadhi za joto.Hapo sawa!
Je mtundu na msila?
Hao wote ni wateule wa Rais!so huenda akili zao zimelala, Rais akilaumiwa end of day atawatumbua hao wateule wake wazembe na kuleta WachapakaziMkuu hizi lawamaa Hazina msingi wowote na ni kumuona Mh Rais
Kama mbao zinapatikana kirahisi kwa bei nafuu
Twende sasa
1. Karibu Kata hayupo?
2. Mwenyekiti wa kijiji hayupo
3. Wakurugenzi?
4. DC?
6. RC?
7. Vipi wadau wengine na wawekezaji ikiwemo hao wafanya biashara wa Miti na Mbao?
Hawa woote hawaoni umuhimu mpaka Rais?
Asante sana!Miti pori hiyo hupatikana kule Tabora,Mbeya,Tuhuma,Mtwara na sehemu baadhi za joto.
Samia ni rais wa mama yako. Haiwezi kufanya minor ndo Maana aligawa bandari yetu sio?Rais hawezi kufanya vitu ninor kama hvy,
Acha kutetea ujingaMkuu
Hii nadhani si kuilamu tu awamu hii tulaumu zote yeye watangulizi wake walishindwa yeye atakuwaje malaika wa kutatua matatizo ya taifa hili.
Wao wana MD/Municipal Director na siyo DED/District Executive Director.Mtendaji, Afisa Elimu, DED.
Waulize hao.
Mwana una gadhab hatar.Samia ni rais wa mama yako. Haiwezi kufanya minor ndo Maana aligawa bandari yetu sio?
Kwamba, mwenyekiti wa mtaa anazo hela/mbao za kutengeneza madawati?Mwana una gadhab hatar.
Nimejarb kukueleza facts mkuu,
Rais hawez handle issue ambazo hata mwenyekiti wa mtaa ana mudu. Tuache lawama zisizo na tija.
Unajitoa ufahamu sio? Au hujui kama aliahidi mwenyewe jukwaani?Mwana una gadhab hatar.
Nimejarb kukueleza facts mkuu,
Rais hawez handle issue ambazo hata mwenyekiti wa mtaa ana mudu. Tuache lawama zisizo na tija.
figganigga ahadi ya kiongozi ni ahadi ya kitaasisi, utekelezaji wake un pattern ya viongozi wengine ndio sababu tunasema wapo viongozi wanaogushwa moja kwa moja kweny3 uzembe huu.Unajitoa ufahamu sio? Au hujui kama aliahidi mwenyewe jukwaani?
View attachment 3677392
Aliahidi mwenyewe. Au alilazimishwa? Kuna mkuu wa mkoa wilaya au Mkurugenzi alikuja kuomba kura na kutoa ahadi ya madawati? Ficha ujinga wewe! Kubwa hovyoMh. Rais hawezi kufanya vitu ninor kama hvy, lawama ziewaendee wasaidizi wake mfano Mkuu wa Mkoa, DC, DED, Mbunge etc.....hapo kungekuwa na watu committed na creative hiyo ni issue ndogo sana kushughulikiwa na Rais.