figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.
Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.
Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.
Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.
Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.
Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.
Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.