HOJA Barabara ya Iringa kushuka Mikumi imaliziwe kuwekewa kipande cha zege pembeni

HOJA Barabara ya Iringa kushuka Mikumi imaliziwe kuwekewa kipande cha zege pembeni

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Mikumi.jpg
Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri.

Breki ikifeli basi inaenda moja kwa moja kwenye nyumba za watu, nashauri wamalizie kwa kuweka zege kipande kilichosalia.
 
Back
Top Bottom