Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

The Puncher

Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
40
Reaction score
58
Habari wakuu,

"Ukitaka mali utaipata shambani"

Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.

Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati.

Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, apple, strawberry, viazi mviringo, njegere, ngano au miti ya mbao, sasa umefikiwa. Ushindwe wewe tu. Kuna shamba la ekari 113 Mufindi (katikati ya Igeleke na Mapanda) linauzwa milioni 60. Hii ni bei elekezi haipungui hata mia.

Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa mazao tajwa hapo juu na mazao mengine mengi. Umbali kutoka Mafinga mjini hadi shambani ni km 90.

Sifa za shamba:
-- Liko eneo la Mufindi, katikati ya Igeleke na Mapanda
-- Shamba lina hati na linauzwa na mmiliki halali
-- Lina ukubwa wa eka 113 zenye rutuba
-- Linafikika kwa gari kwani limepitiwa na barabara ya Mafinga-Mlimba, kwa hiyo, ni rahisi kusafirisha mazao yako.
-- Liko karibu na mto unaomwaga maji yake mto Kihansi


Ukiwa una nia ya shamba, nicheki ili uanze safari yako ya uwekezaji kwenye kilimo.

Mawasiliano: 0676373070
 
Back
Top Bottom