Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.
Ambha anadai kwamba alifanya production lakini hakutoboa akawa ameamua kufunga studio aachane na muziki maana nyimbo zilikuwa hazipigwi na hapati fedha. Sasa akiwa ashaamua kufunga studio, asubuhi kalala kaja yaki anamgongea dirishani anamwita ambha aamke kuwa kaja na faridah anataka wakarekodi...
Wakuu bado matokeo baadhi ya maeneo yameendelea kutoa. Vipi mtaani kwako mambo yapoje huko
=====================
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa mtaa wa Sabasaba kata ya Gangilonga Jimbo la Iringa mjini mtaa ambao MNEC Salim Abri Asas anaishi.
Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi
Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
Wakuu,
Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM kutokea Mkoa wa Iringa Cde. Glory Chambo amewaangukia Wanamagulilwa kuomba wawachague Wenyeviti Wanaotokana na Chama cha Mapinduzi siku ya Uchaguzi Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba 2024.
Chambo amesema CCM ina haki ya kupewa muhula mwingine wa...
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji...
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji...
Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini.
Pia, Soma:
• Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa
• TAKUKURU Iringa kuanzisha...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Iringa Imeanzisha Uchunguzi wa Madai ya Uwepo Baadhi ya Wagombea wa Serikali za Mitaa kujitoa Kugombea Baada ya kupewa Rushwa.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa, Domina Mkama ametoa Kauli Hiyo wakati akizungumzia Utendaji Kazi wa Taasisi...
Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea.
Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji?
==================
Jeshi la Polisi...
Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.
Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
Tanzania imeweka lengo la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 10 hadi 20 ifikapo Mwaka 2030. Hii ni sehemu ya jitihada za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Taarifa hiyo niliiona kwenye madokezo ya Ofisi ya Makamu wa Rais.
Hata hivyo, katika baadhi ya maeneo kama...
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma.
Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo.
Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali...
Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania.
Umejengwa kwenye mteremko wa...
Bwana Kheri James amesema kote walikopita wilani humo mawakala wa vyama vya siasa hawakuwa na manung'uniko yoyote, wamerdhika kabisa na jinsi zoezi linavyoenda.
Sasa kule Chunga na Dar mnakwama wapi kufanya zoezi hili liende kistaarabu kama wenzenu wa Iringa?
=====
Ikiwa imebaki siku moja...
Wakuu,
Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa wastani, na kwamba umeongezeka kidogo baada ya hamasa kuongezwa akiongeza kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.