matengenezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya bomba kuu kupunguza maji kwa siku nne Dar es Salaam na Pwani

    ‎Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
  2. fundi friji dar

    JamiiForums Tanzania FUNDI FRIJI DAR. matengenezo ya friji na freezer Dar es salaam

    Habari za majukumu wana-JamiiForums, Wasifu wetu ni FUNDI FRIJI DAR, tunajishughulisha na utoaji wa huduma za ukarabati, matengenezo, na service ya vifaa vya ubaridi majumbani na maofisini jijini Dar es Salaam. Huduma Tunazozitoa Mahususi: • Matengenezo ya friji na freezer za aina zote...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singida–Gehandu pamoja na Singida - Manyara

    Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, Kheri James, amezindua Daraja la Ipogolo kufuatia kukamilika kwa matengenezo yaliyolenga kukabili changamoto ya mafuriko

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amezindua rasmi Daraja la Ipogolo kufuatia kukamilika kwa matengenezo makubwa yaliyolenga kukabili changamoto ya mafuriko yanayosababishwa na Mto Ruaha wakati wa msimu wa mvua. Mradi huo uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 600 ulihusisha upanuzi wa mtaro...
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je? KANISA LAHITAJI MATENGENEZO?

    Kuna mambo nayaangalia kwa kina na kwa uelekeo kuhusu kanisa kwa ujumla napata ukakasi. Kanisa limekuwa kama kijiwe na kijiwe kimekuwa kanisa. Inawezekanaje kanisa linashindwa kukemea ushoga lakini dudubaya anaweza? Au ndiyo maandiko yanatimia kwamba mawe yatasema?? Hivi Bwana Yesu ni dhehebu...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA kufanya matengenezo kinga, maji kukatika kwa saa 12

    ‎Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza kusitishwa kwa huduma ya maji kwa takribani saa 12 katika maeneo ya Dar es Salaam na Pwani, kesho Alhamisi, Septemba 10, 2026. ‎ ‎Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Bi Everlasting Lyaro amesema huduma itakatika...
  7. E

    JamiiForums Tanzania January Makamba alipewa tilioni 6 za matengenezo tanesco huyu wa sasa amepewa tilion ngap!?

    Alipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  9. R

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wasabato wa Adventista na wasababto wana matengenezo ni wasabato wapi wenye kweli ya Mungu?

    Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho. Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii. Kwa miaka kazaa katika kujifunza kwangu maswali ya imani (Dini) Nimekutana na madhehebu mengi mnayofanana kama Mashahidi wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji matengenezo, au uboreshwaji au ushauri wa website yake yoyote?

    Wakuu habari, Kama kuna mtu anahitaji uboreshwaji au ushauri au kuwekewa features mpya kwenye website yako au app unicheki nasaidia vitu kama hivyo hata bure. Kwa wale wanaohitaji kutengenezewa website mpya pia mnicheki tufanye kazi malipo sawa na bure tu. WhatsApp 0681564388 Asante sana!
  13. Madihani

    JamiiForums Tanzania CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya JamiiForums: Update Mpya Zilizogundulika

    Kwa muda huu, JamiiForums imekuwa ikifanya updates kwenye mfumo wao wa mtandao. Wakati wa mchakato huo, imegundulika kuwa baadhi ya vipengele vipya viliwekwa moja kwa moja “live” bila kupitia test/staging environment. Hali hii ilisababisha baadhi ya watumiaji kubaini mabadiliko yasiyo ya kawaida...
  15. Daby

    JamiiForums Tanzania Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

    Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa? Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza. Kama ni...
  16. Davao255

    JamiiForums Tanzania Huduma za matengenezo ya simu kutoka davao service center

    🔧 HUDUMA ZETU ZINAHUSISHA: ✅ Matengenezo ya simu aina zote (Android & iPhone) ✅ Kurekebisha simu zilizoharibika au kuzimika ghafla ✅ Kuflash simu ili kurekebisha matatizo ya mfumo (software) ✅ Kuondoa iCloud kwenye iPhone kwa usalama ✅ Kurekebisha na kubadilisha skrini zilizopasuka ✅...
  17. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya magari na upatikanaji wa spare parts: Je, ni magari yapi yana gharama nafuu kuyahudumia Tanzania?

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  18. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

    Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani Labda rangi kwenye majukwaa Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Asfati au Lami: Tanzania Inatumia Zaidi Ipi, je ipi itaokoa matengenezo ya kila mara!

    Swali: Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini? Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo? Pia, je, kuna mpango wowote wa Tanzania kutumia teknolojia mpya kama barabara zinazozalisha umeme (solar roads) au...
  20. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu. Mpaka leo hii hakuna matumaini ya...
Back
Top Bottom