Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani

Labda rangi kwenye majukwaa
Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
 
Kwanza uwanja wenyewe unaitwa mkwakwani unategemea nini hapo kwani?
 
CCM ndo walivyo mkuu, ukarabati kwao uwa ni kupiga rangi na kufagiafagia imetoka hiyo
 
bilion 30 za matengenezo, halafu baada ya mechi moja na kamvua kadogo, uwanja unafungwa tena kupisha matengenezo, kweli CAG alikosea, matumizi yasiyo na tija ni zaidi ya aliyotutajua.
hivi mnajua bilion 30 zingeweza kuajiri walimu wengine wangap? shule je, hospital je?
uchizi sio lazma kuokota makopo.
 
Familia yake hasa Mke na watoto hawawezi kujiamini kama wana Baba anayetoa machozi kirahisi hivyo. Na kwenye chama chetu cha wanaume wa ukweli tutamjadili.

Kwamba yeye ana hisia kuliko Kocha, Wachezaji au Mo. Yaani wewe msemaji tu tena wakiume UNALIA!!!! . Najua hata wachezaji wetu wa Simba Queen wanakujadili.

How dare you
 
Back
Top Bottom