Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Alipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
Ety wanazemgoAlipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
Ni siri yao wenyeweEty wanazemgo
Pesa za miradi nasikia ganji yake ni nzuri kama ule uwanja wa mkapa na arushaNi siri yao wenyewe
Watu wamejipakulia minyama kama wanahama nchi hii.Pesa za miradi nasikia ganji yake ni nzuri kama ule uwanja wa mkapa na arusha
Wote hatujuiHivi zile tilion 6 alifanyia marekebisho gani
Hatari sanaWatu wamejipakulia minyama kama wanahama nchi hii.