Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa?

Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza.

Kama ni baiskeli nitaifungua nikipata udhuru nitaiacha hapo na inaweza kuwa mwisho wake kuishika. Nitarudi kuimalizia iwapo mtoto atanisumbua au nitakapohitaji kutumia hicho kifaa.

Procrastination inanisumbua saana hasa kwenye masuala ya kazi za mikono nyumbani. Ni mimi tu au na nyie inawatokea? Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia ni miezi sasa toka mke wake amwombe kubadilisha bulb nyumbani na mpaka sasa haijabadilishwa.

Una deal vipi na haya masuala?ni uvivu au ni kawaida!
 
miezi sasa toka mke wake amwombe kubadilisha bulb nyumbani na mpaka sasa haijabadilishwa.
Huyo mkewe naye kazubaa anashindwaje kupanda juu ya kiti akamate grill dirishani aning'inie aweke taa😀😀 kwa wewe baisikieli mkeo angekuwa anakusaidia siku ana muda anatoka nayo mdogo mdogo kwa fundi anakurekebishia, kuna mambo mengine mwanaume akiwa ana play part yake vizuri ndani wanawake nao inabidi tujifunze tu kuyamaliza majumbani mwetu wapo vijana/watu tunaowatumia na sometimes tunawaamini mimi huwa nafanya kumsaidia mwenzangu ntamuita flani atakuja aturekebishie aende zake baba akirudi anakuta mzigo wa mambo mengine yamepungua.......au nakosea KERATO MOMBAA Bantu Lady kwani ni vibaya
 
Dogo baiskel ya mtoto,atengeneze mwanamke Uko Sawa kweli wewe

Mlango atengengeze mwanamke😂😂
Banda la kuku atengeneze mwanamke,umeambiwa matengenezo madogo madogo ya ngumbani.
Kama mwanamke anasimamia mashamba na mifugo atashindwa jambo dogo hilo si anamuita fundi chap anarekebisha anaenda sio lazima mwanamke atumie nguvu au ujuzi wake
 
Kama mwanamke anasimamia mashamba na mifugo atashindwa jambo dogo hilo si anamuita fundi chap anarekebisha anaenda sio lazima mwanamke atumie nguvu au ujuzi wake
Nafikiri hujaelewa somo, mtoa maada anasema kwamba matengenezo madogo madogo mfano ,baiskel ya kijana,Mlango Au kitasa binafsi hapendi aite fundi.Mimi pia huwa nafanya hivyo,Sijui kupaka rangi geti au matengenezo ya banda la kuku huwa nafanya mwenyewe.
Sio kuita fundi, bustani Nalima mwenyewe sio kuita kibarua,Hata kuku na mbuzi huwa nachinja mwenyewe.
 
Huyo mkewe naye kazubaa anashindwaje kupanda juu ya kiti akamate grill dirishani aning'inie aweke taa kwa wewe baisikieli mkeo angekuwa anakusaidia siku ana muda anatoka nayo mdogo mdogo kwa fundi anakurekebishia, kuna mambo mengine mwanaume akiwa ana play part yake vizuri ndani wanawake nao inabidi tujifunze tu kuyamaliza majumbani mwetu wapo vijana/watu tunaowatumia na sometimes tunawaamini mimi huwa nafanya kumsaidia mwenzangu ntamuita flani atakuja aturekebishie aende zake baba akirudi anakuta mzigo wa mambo mengine yamepungua.......au nakosea KERATO MOMBAA Bantu Lady kwani ni vibaya
Olaghamba bhuyaa monawaito!
Ghose mbhaleta iching'ombe monawaito nyakororobhi..
Bantu Lady naghambele igha tamanyere ighikurya!
 
Dogo baiskel ya mtoto,atengeneze mwanamke Uko Sawa kweli wewe

Mlango atengengeze mwanamke😂😂
Banda la kuku atengeneze mwanamke,umeambiwa matengenezo madogo madogo ya ngumbani.

We naye kichwa panzi.
Kwani mwanamke ukiambia kajenga nyumba akili yako itafikiri yeye ndiye kakoroga zege?

Alafu kwani wanawake hawawezi kufanya hivyo?
 
Mara nyingi kazi za kumalza wenyewe ndani siyo lazima..
Ukiona mke zezeta kama huyo, mara nying ni wale husema "dadaaa nivalishe sokisi" wakiwa wadogo!
Aahh kuna wengine hata hawajaishi hayo maisha ila tu ameyakuta ya kushtukiza ana msaidizi ndani hadi kufua nguo za mumewe dada afue, eti mtoto kajisaidia utasikia dada inamaana humuoni mtoto akah akah yaani nizae afu nije kushikisha mtoto wa mtu kinyesi cha mwanangu kama nipo dada wa kazi hanifanyii jambo langu mpaka isawabho anauliza sasa dada wa kazi unatakaga wa nini
 
Una akili hadi unapitiliza mona waito
 
Daaah, natafuta hela, nalipa bili, nanunua mazaga, nakata ukoka na miti na kupunguza maua, naua nyoka na wadudu wote, napuliza dawa kwenye mimea na bustan ya mboga, natoa adhabu kwa watoto, ufundi umeme, bomba na mapazia kutoa na kurudisha kila baada ya wiki 2, naosha gari na kazi ya ulinzi hata nikirudi asubuhi, yote haya yanafanyika bila kuacha kiporo
 
Mkuu kazi za nyumbani ni nyingi na haziishi kila siku jambo linatokea. Kwa hiyo mara nyingi sio prostcrastination au kujizungusha ila kulipa kila tatatizo kipaumbele chake la sivyo utajikuta unapata taabu sana na utaanza kuchukia nyumba
 
Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa?

Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza.

Kama ni baiskeli nitaifungua nikipata udhuru nitaiacha hapo na inaweza kuwa mwisho wake kuishika. Nitarudi kuimalizia iwapo mtoto atanisumbua au nitakapohitaji kutumia hicho kifaa.

Procrastination inanisumbua saana hasa kwenye masuala ya kazi za mikono nyumbani. Ni mimi tu au na nyie inawatokea? Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia ni miezi sasa toka mke wake amwombe kubadilisha bulb nyumbani na mpaka sasa haijabadilishwa.

Una deal vipi na haya masuala?ni uvivu au ni kawaida!
Kuna kitu au elimu inaitwa DIY (Yaani "Do It Yourself) hii wanaitumia sana wenzetu huko majuu kifupi unaweza kusema ni kama elimu binafsi ya VETA unayoamua kujifunza mtu alafu ikusaidie wewe mwenyewe kufix changamoto zako mwenyewe bila hata kuita fundi au kupeleka kwa fundi, ukiingia mtandaoni huko ukajifunza utatoka na hizi elimu kama zote, huwezi nambia eti umenunua king'amuzi na dish au antenna tu unaita fundi akufungie na unamlipa 20k (karibu kilo 2 za nyama hapo [emoji23]) wakati unaweza kuset mwenyewe tu ndani ya nusu saa na ukakaa na remote yako ukaanza kuenjoy....

Hii imenisaidia sana mie, aisee toka nibalehe sijawahi kupeleka kitu kwa fundi anitengenezee, nmejikuta mie mwenyewe ni fundi wa vitu kibao kupitia tutorials mbali mbali za YouTube na UDEMY (Nina tabia ya udadisi sana wa mambo mengi kutaka kujua how things do they work na vikifa vinafixiwa vipi), naweza haribikiwa na kitu ambacho hata mafundi wa bongo hawana elimu nacho au wanashidwa kutengeneza ila mimi mwenyewe nikafix na kika kaa sawa hata kama kitahitaji kuagiza kifaa cha ku replace nitaagiza, uzuri dunia siku hizi ni kijiji, hapo nakua nmeokoa gharama kubwa sana.. na nina toolbox [emoji3463] ya vitu kibao vya kazi hapa ghetto..
 
Baadhi ya matengenezo ingia mtamboni mwenyewe SI KILA KITU fundiiii

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
MFANO mi SIO fundi ILA Kuna mambo hua nafanya mwenyewe kuziba sehemu zilizo chimbuka ukutani au sakafu wakati mwingine kupiga sakafu YOTE. Kupaka rangi nk

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Back
Top Bottom