Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

Daaah, natafuta hela, nalipa bili, nanunua mazaga, nakata ukoka na miti na kupunguza maua, naua nyoka na wadudu wote, napuliza dawa kwenye mimea na bustan ya mboga, natoa adhabu kwa watoto, ufundi umeme, bomba na mapazia kutoa na kurudisha kila baada ya wiki 2, naosha gari na kazi ya ulinzi hata nikirudi asubuhi, yote haya yanafanyika bila kuacha kiporo
Mpaka kutoa kutoa adhabu kwa watoto unahesabia
 
Mkuu ugali umetudumaza sana kuchukua maamuzi ya kufanya kitu unajivutavuta sana ingawaje hilo tatizo mimi sina kabisaa nikipanga kitu lazima kiishe labda itokee changamoto kula mboga za majani kwa wingi na mazoezi ili kupunguza udumavu tuliona kwenye kutoa maamuzi..
 
We naye kichwa panzi.
Kwani mwanamke ukiambia kajenga nyumba akili yako itafikiri yeye ndiye kakoroga zege?

Alafu kwani wanawake hawawezi kufanya hivyo?
Bado unaishi kwenu kumbe,Haya endelea,Umeambiwa matengenezo madogo madogo.
Wababa huwa mnafanyaje ?
wewe umekuja na sijui mwanamke kafanya Nini sijui aite fundi.
Umeambiwa wababa ni kama life style ya wababa kwao,achana na fundi.
Au mtoa maaada nisaidie kufafanua hili Daby
 
Hapo sasa
Huyo mkewe naye kazubaa anashindwaje kupanda juu ya kiti akamate grill dirishani aning'inie aweke taa😀😀 kwa wewe baisikieli mkeo angekuwa anakusaidia siku ana muda anatoka nayo mdogo mdogo kwa fundi anakurekebishia, kuna mambo mengine mwanaume akiwa ana play part yake vizuri ndani wanawake nao inabidi tujifunze tu kuyamaliza majumbani mwetu wapo vijana/watu tunaowatumia na sometimes tunawaamini mimi huwa nafanya kumsaidia mwenzangu ntamuita flani atakuja aturekebishie aende zake baba akirudi anakuta mzigo wa mambo mengine yamepungua.......au nakosea KERATO MOMBAA Bantu Lady kwani ni vibaya
Hspo sasa pa kijana ninayemtumaga ndio akina baba tunapaswa kuwa nako makini
 
Bro Alex on da beats yoow
Unaringa sana na huu msemo wako nauonea wivu kishenzi ,alex on da beats yoow .
Hahahahaaa mkuu HIyo ni brand ya KAZI YANGU naplan NIFUNGUE lebo ya mziki WA AI natunga nyimbo na video HII ni brand mkuu get ready soon mkuu 🙏 🙏 🙏 🙏


Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoooow
 
Delegate babu, delegate tasks hizo ni riziki za watu, acheni kujikuta mahandy men
 
Back
Top Bottom