Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,325
- 7,533
Watu tumelipwa:
Overtime Allowance
Airtime/Communication Allowance
Transport Allowance
House Allowance
Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini.
Toeni taarifa shida nini.
Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.