Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.
Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.
Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu?
Nashauri BoT...
Mimi ni mvuvu wa kuandika. Nitaandika kwa kifupi sana lakini nadhani utanielewa.
Kuna mambo matatu hapa lazima tuyajue ili ikiwezekana hayo mambo yawe keys za kupata fedha na kuishi katika uhuru wa kifedha.
Jambo la 1: Pesa ni nini?
Jambo la 2: shetani ni nani?
Jambo la 3: Je, pesa zote halali...
Benki ya Dunia imeweka msisitizo katika kuhamasisha mitaji ya sekta binafsi ili kuchochea uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana barani Afrika, kupitia biashara ndogo na za kati, madini na maendeleo ya viwanda.
Mkazo huo umejadiliwa katika Mkutano wa Magavana wa Nchi Wanachama wa Benki...
Habari Tanzania !...
Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii.
1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?.
Ombi langu;
Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
An event titled “East Africa Diaspora Protest” is advertised on Eventbrite by the East Africa Diaspora Movement.
According to the announcement:
Date: Friday, 23 October 2026.
Time: 9:00 a.m. to 1:00 p.m.
Location: US Department of State, 2201 C Street NW, Washington, DC.
Purpose: To advocate...
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (wa pili kushoto), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Group la Six Continental Trading Company Limited, Bw. Benson Mahenya (wa pili kulia), baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yanayolenga...
Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha.
Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
Anonymous (9651)
Thread
account
benki
bila
bila kujua
elimu
kujua
makato
mwezi
pesa
sahihi
stahiki
taarifa
taarifa sahihi
wateja
Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi.
Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
NMB imekua na ujinga mwingi umeweka pesa kwenye akaunti unafanya manunuzi unataka kulipa kupitia NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa yaani mabenk ya Serikali yameambukizana ujinga.
Ukiweka Shilingi Milioni 10 benki leo, unaamini kuwa pesa hizo ziko ndani ya chumba cha siri cha benki zikikusubiri wewe ukazichukue siku yoyote, sivyo?
Ukweli ni kwamba: Pesa hizo hazipo hapo! Siku hiyo hiyo uliyoondoka, benki inachukua takriban Shilingi Milioni 8.5 hadi 9 na kuwakopesha watu...
Friends and Our Enemies,
Katika pita pita yangu leo nimemkumbuka marehem Deo Filikunjombe pale alipokawa anahitimisha kuwasilisha ripoti yake kuhusu yale majizi ya fedha za wizi za escrow ambapo ilitaja watu wengi wakiwemo na maaskofu wa kanisa katoliki na vijana wao kama Anna Tibaijuka katika...
Habari ndugu,
CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).
Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu...
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba.
Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
Kuna hii tabia inakuja kasi sana wafanyakazi wa BENKI hamtaki kuchukua (elfu moja moja & Mbili) yani noti za buku buku na buku mbili. Mnataka noti za 5,000 na 10,000 tu.
Hamzitaki hela, tuambiane pa kuzipeleka au kama hazitambuliki mzifute tujue noti ni 5,000 na 10,000 tu.
Ofisa mmoja wa benki inayoanzia na herufi A avunjwa mkono wa kulia na mtumishi wa kada ya ualimu.Tukio hilo limetokea jana asubuhi wilayani Kilindi ndani ya ofisi ya benki hiyo jina linahifadhiwa.
Vurugu hiyo ilitokana na mwalimu huyo kuwalalamikia benki hiyo kushindwa kuondoa makato ya mkopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.